Lulu Michael Mahakamani tena kwa kesi ya mauaji ya Kanumba

Arnoldius

Member
Oct 1, 2017
25
4
Malkia wa bongo movie Elizabeth Lulu Michael atatakiwa kupanda mahakamani tena Oktoba 19 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza tena kesi ya mauaji inayomkabili. Lulu ambae anakabiliwa na kesi ya mauji ya bila kukusudia ya msanii mwenzie Steven Kanumba yaliyotokea mwaka 2012, April 7.

Nyota huyo wa bongo movie alifanya mauaji hayo ya bila kukusudia kwa msanii mwenzie ambae pia alikuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi walipokuwa pamoja.

Mauaji hayo yalitokea baada ya wawili hao kutokuelewana. Hata hivyo miaka mitano iliyopita ambapo Lulu alipoanza kukabiliwa na kesi hiyo alikubali kumuua Kanumba bila kukusudia wakiwa nyumbani kwa marehemu Sinza Vatican.

Elizabeth Lulu Michael alikamatwa na polisi kwa kosa la kumuua Kanumba bila kukusudia mnamo April 2012,na kupelekwa katika kituo cha Osterbay.
Baada ya kukamatwa na kuwekwa ndani alikuja kupandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo hakutakiwa kujibu kitu chochote, na baadae kesi iyo ilikuwa kuwamishiwa mahakama kuu ili kusikilizwa tena.

Lulu alikuja akaachiwa kwa dhamana mwaka 2013, January baada ya hati ya kesi iyo kubadishwa kutoka katika mauaji ya bila kukusudiana , hati ambayo ilimfanya apate nafasi ya kupata dhamana hiyo.

Steven Kanumba na Elizabeth Lulu Michael wote walikuwa na wasanii wa movie za bongo , Kanumba alikuwa moja ya wasanii wakubwa walisaidia kwa kiasi kikubwa katika kukuza kazi za movie nchini tanzania, katika kujibu tuhuma za kesi hiyo miaka minne iliyopita, Lulu Michael alikiri kuwa na mahusiano na msanii huyo na kuwa ni kweli aliua bila kukusudia.

Katika kujibu mashitaka yake, Lulu michael alieleza kuwa siku ya tukio alikwenda kwa marehemu Steven Kanumba maeneo ya Sinza Vatican ambapo walikuwa na ugomvi, hata hivyo hakusema bayana kitu kilichosababisha ugomvi huo.

Lulu aliongezea na kusema kuwa katika purukushani na mpenzi wake huyo walivutana na alifanikiwa kutoka nje ya mlango lakini huko ndani kwa marehemu ambae alijigonga na kuanguka mambo hayakuwa shwari.

Kila la kheri kwa malkia ya Bongo movie
 


Malkia wa bongo movie Elizabeth Lulu Michael atatakiwa kupanda mahakamani tena Oktoba 19 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza tena kesi ya mauaji inayomkabili.Lulu ambae anakabiliwa na kesi ya mauji ya bila kukusudia ya msanii mwenzie Steven Kanumba yaliyotokea mwaka 2012,April 7.

Nyota huyo wa bongo movie alifanya mauaji hayo ya bila kukusudia kwa msanii mwenzie ambae pia alikuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi walipokuwa pamoja.Mauaji hayo yalitokea baada ya wawili hao kutokuelewana kwao.Hata hivyo miaka mitano iliyopita ambapo Lulu aliapoanza kukabiliwa na kesi iyo alikubali kumuua Kanumba bila kukusudia walikuwa nyumbnai kwa marehemu Sinza Vatican.

Elizabeth Lulu Michael alikamatwa na polisi kwa kosa la kumuua Kanumba bila kukusudia mnamo April 2012,na kupelekwa katika kituo cha Osterbay.Baada ya kukamatwa na kuwekwa ndani alikuja kupandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam ambapo hakutakiwa kujibu kitu chochote, na baadae kesi iyo ilikuwa kuwamishiwa mahakama kuu ili kusikilizwa tena.

Lulu alikuja akaachiwa kwa dhamana mwaka 2013, January baada ya hati ya kesi iyo kubadishwa kutoka katika mauaji ya bila kukusudiana , hati ambayo ilimfanya apate nafasi ya kupata dhamana hiyo.

Steven Kanumba na Elizabeth Lulu Michael wote walikuwa na wasanii wa movie za bongo , Kanumba alikuwa moja ya wasanii wakubwa walisaidia kwa kiasi kikubwa katika kukuza kazi za movie nchini tanzania, katika kujibu tuhuma za kesi hiyo miaka minne iliyopita, Lulu Michael alikiri kuwa na mahusiano na msanii huyo na kuwa ni kweli aliua bila kukusudia.

Katika kujibu mashitaka yake, Lulu michael alieleza kuwa siku ya tukio alikwenda kwa marehemu Steven Kanumba maeneo ya Sinza Vatican ambapo walikuwa na ugomvi, hata hivyo hakusema bayana kitu kilichosababisha ugomvi huo.Lulu aliongezea na kusema kuwa katika purukushani na mpenzi wake huyo walivutana na alifanikiwa kutoka nje ya mlango lakini huko ndani kwa marehemu ambae alijigonga na kuanguka mambo hayakuwa shwari.Kila la kheri kwa malkia ya Bongo movie



October 19 imeshapita mkuu mbona? huna habari
 
Na akusema lolote kuhusu kitanda kukutwa kipo shaghala bhagala kama kimetoka kutumika?!
 
22710974_159925504599485_4814414904364630016_n.jpg
22638844_131926517464086_2394949948379496448_n.jpg
22708653_897893220374982_7825984734676123648_n.jpg
 
Back
Top Bottom