Wengi msimshangae Ali Kiba, hakuna mtu anayempenda Diamond kama Ali Kiba

Umenena Ukweli
huo ndio ukweli halisi!!
Kiba anatembelea kick kwa Diamond
kwanza kiba hana Busara,Hana nidhamu
hajui kujieleza,Malengo Zero
Nimtu asiye kwenda na wakati
Majivuno nizaidi ya Mwanamke!!
Kiukweli hata Mungu anaona wapi ampaishe mtu
laiti kama kiba angelikuwa na Mafanikio kama ya Diamond sijui ingelikuwaje!!

Yote na yote Diamond bado ni kioo cha watanzania
 
Yaani kiba akiwa kwenye intavyuu anavyojivuta kujibu swal mpaka natamani ningekuwa karibu ningemzabua kikonzi kichwani paa! Siku moja akaulizwa una mahusiano na jokate yaan alijizungusha mpaka nilibandika maharage yakaiva hajajibu ni ehhhh ehhh you know you know hapo kuna pozi anawekaga kama kumeza mate hivi,you know you know za nn kiingereza chenyewe hajui awe anasema ndiyo au hapana kijulikane kama ni cheus au cheupe you know apeleke kariakoo ila kuimba anaimba sifa ya MTU apewe tu ...bifu isiishe maana ina faida pande zote Mbili... yoooooo pop it in .
 
Ivi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
 
Itakuwa kwel uzee unakunyemelea mkuu pole San a kama hutamvui umuhimu Wa chibu kwa kiba na kiba kwa chibu
 
Soma vizuri post
 
Mkuu sasa wewe ndo umenena Point haswaaaa....
 
Mkuu nimesoma mstari wako wa kwanza tu nimekugongea 'Like'.....maelezo mengine sijasoma ila umefunga mjadala
 
Umenena Ukweli
huo ndio ukweli halisi!!
Kiba anatembelea kick kwa Diamond
kwanza kiba hana Busara,Hana nidhamu
hajui kujieleza,Malengo Zero
Nimtu asiye kwenda na wakati
Majivuno nizaidi ya Mwanamke!!
Kiukweli hata Mungu anaona wapi ampaishe mtu
laiti kama kiba angelikuwa na Mafanikio kama ya Diamond sijui ingelikuwaje!!

Yote na yote Diamond bado ni kioo cha watanzania
Off topic.Kumbe akili unayo mkuu na busara pia,ila yakishaingia mambo ya siasa ndo unaamua kujitoa ufahamu.
 
Ivi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
Mkuu hayo mambo yapo kila sehemu
Mfano Niger (wiz kid ft davido) ni moja ya biashara ila hapo kuwa kiba anamtegemea domo ili akiki sio kweli

Maelezo yako yanajitosheleza mkuu
 
Alikiba hamtegemei Diamond hata kidogo na niwaambie tu jambo hakuna kitu rahisi kama mtenda kukubali kusuluhishwa kuliko mtendwa. matatizo yalianzia kwa diamond hili lipo wazi na kama mkisema jambo la kiki mnatakiwa mjue Alikiba ndo msanii wa pili Tanzania kuleta tuzo ya kimataifa nyumbani. msanii wa kwanza ni jay dee,
 
Diamond na samatta walitakiwa watamani kua kama Ali Kiba na Ngassa respectively.
Lakini kinachotokea sasa ni vice versa.
Hawa vikongwe hawakuzicheza karata zao vizuri.
Walikua na opportunities nyingi... Lakini ulimbukeni, ujinga, umbumbumbu na nomino zote zinazo mwelezea mtu kilaza zikawafanya wawe jinsi walivyo leo.
 
Back
Top Bottom