Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wadau kuna mtu mwenye taarifa yoyote kuhusu gavana wetu wa Benki Kuu? Hivi bado anaumwa? Bado yuko US au kesharudi Dar? Ni muda mrefu, kumekuwa na umkimya sana kuhusu Mhe. Gavana ambaye ni mtu...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, kama wewe ni mmoja ya wapenzi/watazamaji wa filamu za ngumi, basi kwa upande wa bongo huwezi kumwacha nguli huyo mwenye uwezo...
1 Reactions
27 Replies
18K Views
Wakuu, Kuna vita ya trending kwa wasanii wetu wa bongo fleva. Hivi siku za hivi karibuni Alikiba na Diamond platnumz wameonesha kabisa wako katika bifu zito za mziki katika Ku trend na...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Tanasha Donna Oketch: Mkenya huyu 'anayependwa' na mwanamuziki Diamond Platnumz ni nani hasa? Tanasha DonnaHaki TANASHA DONA/INSTAGRAM Mwanamuziki nyota wa Tanzania Diamond Platnumz ametangaza...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Polisi wanawashikilia Watoto Wawili wa Mwigizaji John Okafor, maarufu kama #MrIbu, kwa madai ya kuiba Tsh. 153,609,096, fedha za Michango ya matibabu yake na kujaribu kutorokea Nchini Uingereza...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa nn Steve Nyerere hakwenda kwenye Maandamano ya Wasanii wa Bongo Movie? Kwenye page ya Mange nimemuona Steve mapovu yanamtoka anapinga utaratibu huo uliotumiwa na Makonda na Wasanii wenzake wa...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Lord Eyes: weusi ni wabinafsi http://www.muungwana.co.tz/2017/04/lord-eyes-weusi-ni-wabinafsi.html
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wana JF, Ningependa huyu Bwana awe MC katika harusi yangu. Mwenye kufahamu namba yake ya simu, au mawasiliano mengine yoyote yatakayofanikisha kumpata, naomba anipatie
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Habari!… wazungu husema love is blind na huota popote hata majini,, nimetokea kumpenda huyu dada anaeigiza vichekesho vya mizengwe kiukweli kabisa yani kila kunapokucha anazidi kupendeza na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Msanii yupi ambae kwa sasa hivi anafanya vizuri sana kwa katika kazi zake za muziki mwaka huu ni nani ?
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Ukiingia tu Kanisani Kwake utakuta kuna Viti vimeshapangwa kabisa ambapo...... Vya mbele kabisa hukaa VIP wa Kikristo Vya katikatika kabisa hukaa wanaojitahidi kuufukuzia u VIP wa Kikristo Vya...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani wenye update dogo alikuwa na radha take ya kiafrica halisi ,na moja ya watu waliotoka muda sasa na mondi asee,mtujuze you wapi
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni...
37 Reactions
27 Replies
4K Views
Tabata wamzomea Makamba *Ni wakazi waliovunjiwa nyumba zao *Amnyang'anya kipaza sauti mjumbe wa shina *Ni baada ya kupinga ushauri aliotoa kwa wakazi hao * Wakataa kuchukua viwanja mpaka...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Msanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, atawasili nchini leo saa 8 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Mpiga picha wa Harmonize na yeye aondoka Konde Gang. @jabulant_ ambae alikuwa mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na msanii huyo ambae ni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nawasalimu JF kwa salamu ya Hi Five...GOOD! Niende kwenye point. Ninaweza kusema naongozwa sana na hisia zang tu (Emotion), hata akili natumia pia., na kwa bahati mbaya sana sikuwa mshabiki...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Back
Top Bottom