Watoto wa Mr. Ibu wakamatwa wakitoroka na Tsh. Milioni 153 za matibabu yake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
1706273253604.jpeg

1706273214097.jpeg

Polisi wanawashikilia Watoto Wawili wa Mwigizaji John Okafor, maarufu kama #MrIbu, kwa madai ya kuiba Tsh. 153,609,096, fedha za Michango ya matibabu yake na kujaribu kutorokea Nchini Uingereza

Onyeabuchi Okafor na Jasmine Okekeagwu (ambae ni mtoto wa Kuasili) wanadaiwa kudukua taarifa za Kibenki za Mr. Ibu na kuiba fedha hizo ambazo ni sehemu ya michango ya Matibabu iliyotolewa na mashabiki baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi kukatwa kwa mguu mmoja

Aidha, kati ya fedha hizo Mamlaka zimeweza kurudisha Milioni 139.6, huku Watuhumiwa wakiachiwa kwa dhamana wakisubiri kufikishwa Mahakamani Machi, 2024

......................

Mr Ibu's son arrested over alleged theft of medical donations
Nollywood actor John Okafor, popularly known as Mr Ibu
MR IBU/INSTAGRAMCopyright: MR IBU/INSTAGRAM
Police say they have recovered some money stolen from the Nollywood star's bank accountImage caption: Police say they have recovered some money stolen from the Nollywood star's bank account

Nigerian police have arrested the son and adopted daughter of popular Nigerian comic actor John Okafor, popularly known as Mr Ibu, over allegations that they stole money meant for the actor's treatment.

Onyeabuchi Okafo and Jasmine Okekeagwu are alleged to have taken "possession of the actor’s phone and hacked into the banking details", before stealing 55m naira ($60,700; £47,800).

The money was part of funds that had been donated by fans and well-wishers for the actor's treatment, after he suffered a long illness last year.

The illness resulted in the amputation of one of Okafor's legs. The Nollywood star also underwent five surgical procedures, his family said.

the authorities have recovered 50m naira, local media say, quoting the spokesperson of the police's criminal investigation department, Mayegun Aminat.

The two suspects were planning to escape to the UK, according to Ms Aminat.

A Lagos court has released the duo on a $56,000 bail as investigations continue, local media reported.

They are expected to appear in court in March for the next hearing

Source: BBC
 
View attachment 2883382

View attachment 2883381

Wangewaachia tu hao madogo wakaenjoy sasa hizo hela Mshua atashushwa nazo?
 
Kweli kufa kufaana, ila ndio hadi upite na hela za matibabu ya mshua? Hawa madogo hawakawii kukutanguliza ardhini wakiona fursa.
 
Watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa anayewashitaki ni mwenye hela au polisi ?

unajua Polisi mna viherehere sana ?
 
Basi Diamond hakosei kumkana baba yake maana baba kama wewe mtoto akitoboa si atakulipizia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sisusi wala kutupa mtoto, huduma za msingi atapata, nae ni sehemu ya matumizi, mahitaji yote ya msingi na ziada pia atapata kuemdana na uwezo wa dingi yake.. Ila siwez kuhangaika sijui hii niweke, nisitumie kisa mtoto la hasha natumia niwezavyo, akizikuta hewala, asipokuta tayari nishampa msingi mzuri apambane tu.
 
Back
Top Bottom