Tetesi: Bashite kuandaa shughuli nyingine Leaders siku ambayo tamasha la Fiesta limepangwa kufanyika

instagram

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
374
Likes
627
Points
180
Age
24
instagram

instagram

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
374 627 180
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.
Akitolea ufafanuzi wa kampeni ya usiwe kama kaa mkurugenzi wa clouds bw. Ruge alisema kuwa ukimuweka kaa moja moja kwenye ndoo atatoka ila ukiwajaza kaa wengi kwenye ndoo hawatatoka kwani kila moja atagombania kutoka kwa kumvuta mwingine asitoke
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,897
Likes
7,544
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,897 7,544 280
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.
Akitolea ufafanuzi wa kampeni ya usiwe kama kaa mkurugenzi wa clouds bw. Ruge alisema kuwa ukimuweka kaa moja moja kwenye ndoo atatoka ila ukiwajaza kaa wengi kwenye ndoo hawatatoka kwani kila moja atagombania kutoka kwa kumvuta mwingine asitoke
Acha uchonganishi hii kampeni imeanza siku kadhaa nyuma hata kabla ya efm kutangaza tamasha lao.
Wabongo bwana
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
6,289
Likes
9,989
Points
280
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
6,289 9,989 280
DAB
 
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
2,096
Likes
1,922
Points
280
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
2,096 1,922 280
Kama ni kweli basi bashite ni kaa wa mtomavi
 
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
6,437
Likes
7,736
Points
280
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
6,437 7,736 280
Ila kitu kimoja kuhusu ii clouds inatabia za paka, inahisi inauwezo wa kumshurutisha mweny nyumba na kumpa chakula inachotaka, serikali itabaki kua serikali, isifanye maisha ni wao tu, ila ngoma ikivuma sana huisha kupasuka ngoja tuone,
 
dem boy

dem boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
2,548
Likes
3,157
Points
280
Age
57
dem boy

dem boy

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
2,548 3,157 280
mali ya Sir God..... Fuk !
 
O

Opyempye Nchee

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Messages
209
Likes
97
Points
45
O

Opyempye Nchee

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2017
209 97 45
Clouds inatakiwa itambue Uhuru wao unapoishia ndipo Uhuru wa mwingine unapoanzia sasa Wahache figisufigisu wakae na makonda ili wapeane nafasi kila mmoja atekeleze wajibu wake kwa nafasi yake
 
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
3,027
Likes
2,139
Points
280
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
3,027 2,139 280
................hujuana kwa vilemba.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
21,076
Likes
4,221
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
21,076 4,221 280
Hakumtaja mtu, acheni kuwa kama kaa
 
M

mtotowamamanjungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
352
Likes
266
Points
80
Age
26
M

mtotowamamanjungu

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2016
352 266 80
Waliamdhalilisha kwa lipi?
 
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,263
Likes
2,399
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,263 2,399 280
UNAMWANGALIA NANI! NGOMA INOGILE! KUNA RAHA YAKE MTU USIPOKUWA NA TIMU!!!! YEYOTE ATAKAYESHINDA UNAPETA TU.KUNA WATU WATAPATA SHIDA BONGO HIITIME WILL TELL.......

simba-na-kivuli-jpg.631263
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,606
Likes
34,070
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,606 34,070 280
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.
Akitolea ufafanuzi wa kampeni ya usiwe kama kaa mkurugenzi wa clouds bw. Ruge alisema kuwa ukimuweka kaa moja moja kwenye ndoo atatoka ila ukiwajaza kaa wengi kwenye ndoo hawatatoka kwani kila moja atagombania kutoka kwa kumvuta mwingine asitoke
Kuna Methali moja ya Kiswahili isemayo ' Inzi wengi hawamalizi Mavi ' itafute ili uweze kuelewa ina maana gani itakusaidia mno.
 
Forum statistics

Threads 1,215,208
Members 463,075
Posts 28,539,419