Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wambea wenzangu ebu nipeni ubuyu, Hivi Zamaradi bado yupo Clouds baada ya kuolewa na mission town? Maana kusema kweli alikua anajua sana kutangaza especially kwenye kipindi cha TAKE ONE na LEO...
19 Reactions
79 Replies
18K Views
Mchezesha muziki maarufu nchini DJ Rico amefariki dunia. Rico ambaye amefanya kazi vituo mbalimbali vikiwemo Clouds na East Africa Radio atakumbukwa na wengi kutokana na umahiri wake katika tasnia...
5 Reactions
70 Replies
16K Views
Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa...
6 Reactions
74 Replies
13K Views
Licha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Usiku wa kuamkia leo pale leaders kulikuwa na kilele cha Fiesta huku waandaaji wakijipambanua na kauli mbiu ya 100% local, yaani wasanii wote watumbuizaji wanatoka nyumbani. Watazamaji-...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Muunganiko wa wakali wawili wa muziki wa Rap kutoka Tanzania, Roma na Stamina ‘ROSTAM’ umeshika nafasi ya juu baada ya sifa na pongezi kusambaa zaidi zinazowataja kuwa ni miongoni mwa wasanii...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Natumaini wana janvi wote wazima wa afya,nimelazimika kuandika Uzi huu baada ya kusikiliza maelezo ya mke wa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Bi Jesca Kishoa Kafulila! Nimeshindwa kuleta video...
12 Reactions
75 Replies
11K Views
Malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amefanikiwa kupata uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki baada ya kuachana Rockstar inayoongozwa na Seven Mosha. Akiongea na Bongo5, mtu...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Kesi ya kutumia madawa ya kulevya inayomkabili Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu imeahirishwa leo katika Mahakama ya Mkazi Kisutu hadi Desemba 14 mwaka huu. Akieleza sababu za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rita Ora amefichua kuwa aliweka mayai yake ya uzazi kwenye barafu baada ya miaka 20 alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Televisheni ya Australia . Muimbaji huyo wa raia wa Uingereza, ambaye...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Mtangazaji wa clouds media group Babie Kabae ana " UVUNGU " wa haja na " BASTOLA " za uhakika hivi hadi anafikia hatua anasababisha watu tunaacha kuko centrate katika kusikiliza taarifa zao muhimu...
3 Reactions
174 Replies
69K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Dully Sykes amewalalamikia wasanii wadogo kiumri kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa kukosa upendo na umoja baina yao kwa kutokupeana sapoti kwenye kazi zao. Dully amesema...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kweli dunia ina mambo na vijambo leo nmeanzisha thread watu wapost pic zao Evelyn Salt akapost picha iliyonistua huwezi amini lakini amini usiamini Evelyn Salt ni star mwenye pesa chafu huko...
0 Reactions
71 Replies
24K Views
Mimi naanza na Wema sepetu, haya tusaidiane list nyingine
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Baada ya kuanza masomo kwenye chuo cha Harvard, mtoto wa kwanza wa kike wa rais mstaafu wa Marekani Barak Obama, Maria Obama amekuwa gumzo kubwa chuoni baada ya kufanya kitendo kilichomfanya...
1 Reactions
55 Replies
14K Views
NYOTA wa muziki nchini Nigeria ambaye alikuwa anaunda kundi la P-Square, Peter Okoye, ameweka wazi kuwa yeye si chanzo cha kundi hilo kuvunjika. Kundi hilo kwa sasa limevunjika kwa madai kwamba...
4 Reactions
72 Replies
15K Views
Huyu Mzee ana potential kubwa, mm nataka nimtumie kwenye matangazo ya bidhaa zangu Any information pls let me know
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Roma Amshilikisha Dr. Luis Shika Kwenye Nyimbo Yake Mpya Ebwana ndio Hivi Shika akiendelea kuwashika kweli Dada Zetu Hii Nyimbo Ni Mpywa
5 Reactions
42 Replies
13K Views
Ni kweli Nyashinski ameanza kulewa umaarufu? Hiko ndio kitu kinachoonekana kwa msanii huyo kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki wa nchini Kenya. Tuhuma hizo zimeibuka kupitia gazeti maarufu...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…