Lady Jaydee apata uongozi mpya baada ya kutemana na Rockstar

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amefanikiwa kupata uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki baada ya kuachana Rockstar inayoongozwa na Seven Mosha.

Akiongea na Bongo5, mtu wa karibu wa msanii huyo amethibitisha hilo kuwa Jide kwa sasa amepata uongozi huo mpya wa kampuni kutoka Nigeria ambao wanafanya kazi nchini Kenya.

Chanzo hiko kimesema kampuni hiyo inafahamika kama Taurus Muzik ambayo pia inafanya kazi na wasanii kama Dela Maranga na Kagwe Mungai (wote kutoka Kenya), na Urban Hype kutoka Zambia.

Tayari inadaiwa kuwa Jaydee ameshaanza kufanya kazi na kampuni hiyo na watatoa taarifa rasmi hapo baadae. Jide atatarajiwa kuwa na ziara ya muziki nchini Afrika Kusini mwezi Disemba mwaka huu.

Jaydee anakuwa msanii wa pili kuondoka baada ya baraka da prince kuondoka hivi karibuni hata hivo rockstar ilimuongeza ommy dumpoz hadi sasa alikiba na ommy dimpoz ndo wasanii waliobaki rockstar
JIDE.jpeg
 
View attachment 637059
Mzee wa Jahazi aliondoka na jahazi lake
 
Ukiona sehemu ulipo hufanikiwi n vema kuhama maan wew sio mti
 
Inamaana Jide ni mzee kuliko kina Nyota Waziri , Hadija Kopa , na wanamziki wote wa dance ? Kina Juliana Kanyomozi ,Wahuu au kule Usa na Ulaya mbona kuna wasanii wa miaka zaidi ya 40 wanaimba bado?

Mwache apambane na hali yake, otherwise we ni Gadner
Gadner alishasema hana noma na bi shost.
Yeye ukitaka noma naye mnyime ulabu
 
Back
Top Bottom