Habari wadau,
Katika vijana wakubwa sana kuzaliwa Africa. Diamond huwezi muweka pembeni.
According to forbes George weah ndio most famous african son kuliko wote.. baada ya Nelson Mandela ambaye...
Jamani jamani haka katoto Tunda katakuja kuvunja ndoa yangu siku si nyingi walahi.
Yaaani haka katoto kamebarikiwa kila sekta hakika nathubutu kusema aliumbwa na kunakshiwa na udongo wenye...
Msanii wa kike wa muziki wa Pop nchini Misri ajulikanaye kwa jina la, Shyma amejikuta mikononi mwa polisi Jumamosi ya wikiendi iliyopita baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ujulikanao kwa...
Habari wanajamvi.....
Hili post/thread halihusiani na siasa........
Jana nilimwona wastara wakati anahojiwa na Vijana wa shilawadu (Kwisa na Soudy Brown) kiukweli huyu dada n mgonjwa na...
Wadau wa JF,
Wapo wasanii/ awnamichezo wengi waliofanikiwa duniani kupitia kazi za mikono yao. Hata hivyo wapo wachache walioamua kuishi maisha ya kumcha Mungu wakiwa bado katika kilele cha...
Chanzo ni Clouds Media, Facebook
Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz
Faiza Ally, aliyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini na mwanamuziki maarufu hapa nchini (Sugu) amesikitishwa sana kitendo kilichofanywa na mzazi mwenzio huyo bungeni baada ya kuonyesha kidole cha...
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi...
Wasanii wa Bongomovie walijumuika pamoja kushiriki kwenye mazishi ya mama mzazi wa Msanii mwenzao Johari. Mama Johari amezikwa January 18, 2018 na msiba ulikuwa nyumbani kwake Mburahati DSM.
William Malecela aka le mutuz ameshindwa kutokea katika mjadala uliozungumzia hatima ya utamaduni wetu na maadili uliorushwa mubashara na luninga ya Star.
Mwendesha kipindi ndugu James amesema...
Tangu Chadema wabadili gia hewani na kumleta mgombea wa " kimkakati" hapa kinondoni, pamezuka mjadala mpana miongoni mwa wanaccm. Binafsi najiuliza, kwani muda hauruhusu kulirejea zoezi la kura za...
Kama mdau wa muziki nimekuona nikimuangalia huyu mwanadada tangu alipotoa ile Come over nikaona ana kitu. Jana nikiwa katika page ya nako 2 nako niliona wametoa wimbo mpya na kuutazama lazima...
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’ ambapo amesema kuwa bei ya midoli hiyo ni kubwa kulikuwa hata gharama ya kununua wanawake wanaojiuza...
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote...
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya.
Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo...
There is a young man from Mtwapa, Mombasa who has left many social media shocked by how much he resembles Diamond Platnumz.
The fella who is a bodaboda rider goes by the name of Patrick as...
Mwanamitindo wa kimataifa Amber Rose anatarajiwa kufanya upasuaji wa matiti yake hivi karibuni.
Mrembo huyo ambaye alitangaza kuchoshwa na ukubwa matiti hayo ameamua kutilia mkazo suala lake la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.