Amber Rose anatarajia kufanya upasuaji wa matiti

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,766
amber-rose-boobs-cleavage.jpg

Mwanamitindo wa kimataifa Amber Rose anatarajiwa kufanya upasuaji wa matiti yake hivi karibuni.

Mrembo huyo ambaye alitangaza kuchoshwa na ukubwa matiti hayo ameamua kutilia mkazo suala lake la kuyapunguza ili yaweze kuendana na mwili wake kama yeye mwenyewe alivyodai.

Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six imeelezwa kuwa baby mama huyo wa Wiz Khalifa na girlfriend wa rapper 21 Savage, atafanyiwa upasuaji wa kifua chake na Dr. Garth Fisher mapema leo.

Dkt. Fisher ameeleza kuwa Amber anahitaji kupunguza matiti hayo ili aweze kuwea huru “She wants to downsize so she can have more freedom.” Na kwa upande wa mrembo huyo ameeleza kuwa akipunguza matiti hayo atakuwa huru na ataweza kuvaa nguo zake amabzo hajazivaa takribani miaka 10 iliyopita.


Muungwana
 
apunguze tu si ya kwake? siku yakinyong'onyea na kuwa kama papai lililopigwa na jua la jangwani ndipo atajua mwenyewe
 
Laiti kama ningesomea huo udoctor wa kudili na maziwa either kupunguza au kuyainua yaliyolala nadhani ningepiga hela sana bongo,,, ningekuwa milionea
 
Watu wengine bana, waweza dhani Sir God kawapendelea kumbe mkono wa bwana daktare
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom