Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

KISUTU: Leo Februari 8, 2018 msanii Wema Sepetu amafika Mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya bangi. Wema amefika Mahakamani hapo akiwa...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Hatari sana haya mambo,mzuka wa queen Darlin leo akiwa jukwaani Mwembe yanga kumkaribisha Mbosso. Darlin alidhihirisha maana halisi ya wimbo wake ntakufirisi...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Toni Braxton recently dropped by Good Morning America on Jan. 25 to promote her forthcoming film, Faith Under Fire, and spilled some serious tea about her budding romance with Cash Money mogul...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Moja ya kipande chake cha ngoma mpya inaonekana 20 Percent akiwachana kiaina Clouds Fm kwa kuwaaambia ukitaka kudhalilishwa Nenda Clouds hata Sketi watakuambia uvae.kwa Mwendo huu sijui kama tutafika
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwanamuziki aliyeuteka ulimwengu wa Bongo fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amejikuta ndani ya skendo nyingine baada ya mwanadada mrembo anayeitwa Mia kukiri kuwa alilala na nae nyumbani kwake...
3 Reactions
66 Replies
17K Views
Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
  • Closed
Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo. Kuanzania Malaria NO More, hadi Sakata la Lady JayDee. Ruge anatuhumiwa kuwa kiongozi katika kuziba rizki na maslahi za...
0 Reactions
44 Replies
36K Views
Dar es Salaam. Mmoja wa mameneja wa Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, Sallam Sharaf amekanusha kuwa na matatizo na uongozi wa Clouds Media Group na kwamba wana ushirikiano mzuri wa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Sitii, wala kuongeza neno, alichosema ni: Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
  • Closed
Sina nia yakumdhalilisha au kumtusi au kumdhihaki Mange Kimambi lakini huwa najiuliza huyu dada kweli yuko sawa kiakili? Ukiangalia matendo yake, maneno yake, haiba yake na maandishi yake unapata...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi. Fid Q amesema...
1 Reactions
31 Replies
13K Views
I grew up listening to Bob Marley. His music influenced me in so many ways and continue to do so. From his politically charged lyrics, to songs of freedom we are all witnesses to one of God's...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mangekimambi:We uleiba hii account ya @wemasepetu ujue soon Wema atarudishiwa account yake. Instagram watakunyang’anya watamrudishia, ungesaidia sana watanzania wanaotaka kulikomboa taifa kama...
8 Reactions
94 Replies
16K Views
Zipo sehemu nyingi kwenye video zilizojificha ambazo zina makosa au zina tupa uhalisia katka kitu flani Tuanze na video ya kwanza ambayo ni ya MUNYAMA diamond platnumz ENEKA video hii...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
9 Reactions
239 Replies
53K Views
Aslay. HIT MAKER wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka pamoja na mkali wa Singeli, Seleman Jabir ‘Msagasumu wanatarajiwa kupewa tuzo maalumu ya heshima ya ufalme katika Sikukuu ya Wapendanao...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
PRINCE AL WALEED BIN TALAL KWENYE PRIVATE PLANE YAKE YA AIRIBUS A380 Hapa sizungumziii viji private jets vya kukodisha au lile ngalawa ambalo mabilionea wanaenda nalo kisiwa cha mbudya. Halafu...
2 Reactions
48 Replies
13K Views
DAR ES SALAAM: Kufuatia sakata la video akiwa anafanya vitendo vya kimahaba na mume wa mtu, Kinjekitile Kingunge ‘Kinje’ kusambaa mitandaoni hivi karibuni, muuza sura katika video mbalimbali za...
2 Reactions
61 Replies
16K Views
The news cycle giveth and the news cycle taketh away. Although Kim Kardashian's so-called "Bo Derek braids" caused a deserved frenzy earlier this week, the impact of her ignorance has all but...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom