Hivi siku hizi Diamond ni mwanamuziki au socialite?

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,119
1,095
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya.

Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo nyingi lakin zote uhai wake umekuwa mdaogo sana na zikizima zinazima kweli.

Cha kushangaza zaidi jamaa amekuwa akitrend sana kwenye mambo ambayo hayahusiani kabisa na mziki mm nayaita mambo ya kipuuzi maana utamuona anajirekod yupo fargha na mpenzi wake anapost ndo utaona watu wanamuongelea karibu week nzima kuhusu izo mambo. Lakini akitoa wimbo watu hata hawashtuki kabisa. Ndo swal langu sasa linapotekea je tuseme kuwa mond now siyo mwanamziki bali socialite maana anapata attention kubwa kwny mishe za mitandaoni kuliko kazi yake.
 
Habari
"Numbisa"
Huyu kijana ni mshabiki kindaki ndaki wa Diamond fuatilia post yoyote ya kumponda au kumsifia moni lazima akamtetee and he knows a lot about Diamond..

Leo kataka tu kujua maana hata mm mwaka huu Diamond hajanifurahisha kwa nyimbo zake labda Corabo alizo shirikishwa.

D ajichunguze upya kunasehem anafeli Though am Die hard fan of Diamond Platinumz and WCB at all
Kama sio fan wa dai umeyajuaje hayo mambo yake mitandaoni?
 
Me niliwahi kusema mda mrefu, Dai hajui kuandika mzk anaoteaga tu, miziki yake ya sasa labda wale mondikindakindaki na promo za bodaboda. Kati ya miziki yote aliyotoa karibuni, hakuna wimbo wa kumfunika Asley.
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya.

Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo nyingi lakin zote uhai wake umekuwa mdaogo sana na zikizima zinazima kweli.

Cha kushangaza zaidi jamaa amekuwa akitrend sana kwenye mambo ambayo hayahusiani kabisa na mziki mm nayaita mambo ya kipuuzi maana utamuona anajirekod yupo fargha na mpenzi wake anapost ndo utaona watu wanamuongelea karibu week nzima kuhusu izo mambo. Lakini akitoa wimbo watu hata hawashtuki kabisa. Ndo swal langu sasa linapotekea je tuseme kuwa mond now siyo mwanamziki bali socialite maana anapata attention kubwa kwny mishe za mitandaoni kuliko kazi yake.
 
Nje ya Muziki ana maisha yake mengine ambayo kuna mashabiki wake wanayapenda, kwahiyo wewe kama unapenda muziki wake focus uko mengine waachie wanaoyapenda.
Lakini hayo unayosema maisha binafsi ndo yanauua mziki wake, maana hashtui tena maisha unayoyasema w ndo yana kiki kuliko mziki wake leo hii unatoa nyimbo na msanii mkubwa kama rick rozy alafu cha kushangaza sijui hata umepotelea wapi..?
 
Back
Top Bottom