Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,569
- 9,429
Faiza Ally, aliyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini na mwanamuziki maarufu hapa nchini (Sugu) amesikitishwa sana kitendo kilichofanywa na mzazi mwenzio huyo bungeni baada ya kuonyesha kidole cha kati ambacho kinaaminika kuwa ni ishara ya tusi ndani ya ukumbi wa bunge.
Mwanamama huyo amedhihirisha masikitiko yake kupitia ukurasa wake wa instragram kwa kupost picha muda mfupi tuu baada ya mbunge huyo kupewa adhabu na kamati ya maadili bunge leo ya kutohudhuria vikao 10 vya bunge kutokana na kitendo alichokifanya ndani ya bunge.