Kila nilipokuwa nikimtizama hasa anatangaza Taarifa ya Habari ya Runinga ambayo huwa inarushwa na Kituo cha Runinga cha Star tv kila Jumatatu hadi Ijumaa Saa 3 Kamili hadi Saa 3 Unusu nilikuwa...
Msanii wa muziki Bongo, Q Chillah amesema licha ya kuwa na njia mbali mbali za msanii kutangaza muziki wake bado atahitaji support ya media.
Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameachia ngoma mpya...
Ushahidi wa mkojo wa mwanasiasa Wema Sepetu umezusha mabishano ya kisheria baada ya Wakili Albert Msando kumhoji Inspekta wa polisi kama alikuwepo wakati mkojo huo " unapatikana na kuchukuliwa"...
Ni kawaida kwa binadamu ku shukuru/kum acknowledge binadamu mwenzie baada ya kufariki.Tabia ambayo imeota mizizi katika maisha yetu japokuwa sio tabia nzuri/mbegu nzuri ya kuipanda.
Katika muziki...
Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond amesema mazungumzo katika kesi yake Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa watoto kati yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto, imekwenda vizuri...
Joyce Kiria aibuka tena na issue ya mumewe lakini awamu hii amewachana wanaombeza.
Instagram:
joycekiriasuperwoman: Watu wangu Nifunzeni jinsi ya kusonya na kunyali nyumbu wote waliotoka povuuuu...
Tumelalamikia Kwa Mrefu Mno, Juu Ya Suala La Makampuni Ya Visimbuzi Kutuchaji Gharama Za Katazama Zile 5 Local Channel, Ambazo Tokea Awali Tuliambiwa Ni Za Bure,But Sasa Mwaka Na Nusu Tunalipishwa...
Hawa wanasiasa maarufu watatu ukiangalia historia zao za utotoni zinafanana wote wamepata malezi ya mzazi mmoja mmoja ( mama). Ila katika kuyafikia mafanikio ya kisiasa walipitia njia " ngumu"...
Hizi habari zingeanzia Tanzania tungesema jamaa kama kawaida yake anatengeneza kiki, kumbe ukweli ni kwamba, asilimia kubwa ya yale yanayosemwa kwamba jamaa anatengeneza kiki; huwa yanatengenezwa...
Ikiwa zimepita siku 10 tu toka tuanze mwaka huu wa 2018. Mwanzilishi wa Facebook Mark Zucckerberg ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4 ( TRILIONI 8.9 za kitanzania) kulingana na orodha ya...
mbosso khan anaendelea kutoa dozi ya kuua mtu. wale haters endeleeni ila jueni ajaja kushndana na mtu anafanya yake mziki mzuri unaongea hakuna anaeweza zuia hii talent.... watu wanaweweseka...
Naangalia hawa madogo,naona leo ni stori za diamond tu karibia lisaaa lizima,huku wakimpiga vijembe Sallam eti awaachie msanii wao...kumbe wanampenda sana Chibu na wananjua kabisa bila chibu...
Wadau baada ya Abdu kiba kutoa kibao chake cha Jeraha siku moja mbele Timbulo naye akatoa kibao chake akikiita Promise, Jeraha na Promise zina mashahiri yaliyofanana neno kwa neno! sikiliza hapa...
Mfanyabiashara na mchekeshaji maarufu bongo Idriss Sultani amekiri wazi kwa sasa wanawake wengi na warembo wanamuogopa kuwa naye kwenye mahusiano kutokana na kazi yake pamoja na umaarufu alionao...
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.
Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki
Jibu; Zari ni mzuri hakuna...
Clouds media wamekuwa miungu watu kwa mrefu kwenye Tasnia ya muziki na wanahisi wanaweza kufanya watakalo kwenye muziki
Wamwkuwa watu wa fitina,wanyonyaji na wanafiki
Nani asiyejua kuwa ruby...
Huu ndo wakati wa media nyingine kujitengenezea biashara kwa kuongeza wafuasi ukizingatia team chibu kwa sasa imeanza kujenga chuki kwa clouds kutokana na mgogoro unaoendelea so ikitokea media...
Rose Ndauka
MUIGIZAJI mwenye mikogo Bongo Muvi, Rose Ndauka amefunguka kuwa anatamani sana kuongeza mtoto mwingine kutokana na raha anayoipata kutoka kwa mtoto wake huyo wa kike aitwaye Naveen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.