Kwenye wimbo wa Bongo Hip Hop wa FidQ kuna mstari unasema hivi:-
"Sio tu BONGO mpaka NG'AMBO hakuna UHURU wa HABARI... kuna uhuru wa mwenye CHOMBO, MITAMBO na mwenye MALI... Kujifanya hawasikii...
Wasalaam wana JF...
Ni ukweli ulio wazi vyombo vyetu vyote vya habari vinatabia zinazo fanana na vinatofautiana sana kwa kiasi kidogo sana vyombo vyote vinapenda kubembelezwa ,kuabudiwa,kusifiwa...
Mpaka sasa hawaamini hao Clouds, waendelee kukuina kichwa sanaaaa
Hili jembe lishatoboa tundu muda sanaa, wamechelewa waendelee kujipanga kwa hao wengine walokubali kunyanyaswa
Kwa sasa...
Mtakumbuka siku ya leo, Meneja wa Diamond ametokwa na mapovu balaa akimshambulia mtu ambaye alikuwa hamtaji jina, badae akaahidi kusema ukweli kama alivyoandika hapa => Meneja wa wcb sallam sk...
SOURCE: MWANANCHI
Waswahili wanamsemo wao usemao ajali kazini. Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond ambaye amewasili katika viunga vya Mahakama ya...
KISUTU: Leo Februari 8, 2018 msanii Wema Sepetu amafika Mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya bangi. Wema amefika Mahakamani hapo akiwa...
Hatari sana haya mambo,mzuka wa queen Darlin leo akiwa jukwaani Mwembe yanga kumkaribisha Mbosso.
Darlin alidhihirisha maana halisi ya wimbo wake ntakufirisi...
Toni Braxton recently dropped by Good Morning America on Jan. 25 to promote her forthcoming film, Faith Under Fire, and spilled some serious tea about her budding romance with Cash Money mogul...
Moja ya kipande chake cha ngoma mpya inaonekana 20 Percent akiwachana kiaina Clouds Fm kwa kuwaaambia ukitaka kudhalilishwa Nenda Clouds hata Sketi watakuambia uvae.kwa Mwendo huu sijui kama tutafika
Mwanamuziki aliyeuteka ulimwengu wa Bongo fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amejikuta ndani ya skendo nyingine baada ya mwanadada mrembo anayeitwa Mia kukiri kuwa alilala na nae nyumbani kwake...
Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini...
Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo. Kuanzania Malaria NO More, hadi Sakata la Lady JayDee. Ruge anatuhumiwa kuwa kiongozi katika kuziba rizki na maslahi za...
Dar es Salaam. Mmoja wa mameneja wa Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, Sallam Sharaf amekanusha kuwa na matatizo na uongozi wa Clouds Media Group na kwamba wana ushirikiano mzuri wa...
Sitii, wala kuongeza neno, alichosema ni:
Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya...
Sina nia yakumdhalilisha au kumtusi au kumdhihaki Mange Kimambi lakini huwa najiuliza huyu dada kweli yuko sawa kiakili? Ukiangalia matendo yake, maneno yake, haiba yake na maandishi yake unapata...
Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi.
Fid Q amesema...
I grew up listening to Bob Marley.
His music influenced me in so many ways and continue to do so.
From his politically charged lyrics, to songs of freedom we are all witnesses to one of God's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.