Bosi wa Facebook kaanza mwaka kwa kuingiza matrilioni

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Ikiwa zimepita siku 10 tu toka tuanze mwaka huu wa 2018. Mwanzilishi wa Facebook Mark Zucckerberg ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4 ( TRILIONI 8.9 za kitanzania) kulingana na orodha ya mabilionea ya Bloomberg.


Ripoti zinasema, ‘Fahirisi kubwa za soko ni juu ya 2% ya mwaka hadi sasa. Zuckerberg mwenye umri wa miaka 33 ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4.16 tangu mwaka 2018 ulipoanza, na hisa za kampuni zinaongezeka zaidi ya 5% . Zuckerberg sasa amehamia kutoka 5 hadi 4 kwenye orodha ya mabilionea ya Bloomberg na sasa ana thamani ya karibu dola bilioni 77.

Bloomberg Billionaires kila siku kinataja watu matajiri zaidi duniani. Takwimu zinasahishwa mwisho wa kila siku ya biashara huko mjini New York.

psc1016_zuk03.jpg

Hapa akiwa na mkewe Priscilla
SIKU 10 UNAINGIZA TRILIONI 8.9 ZA KITANZANIA
 
Back
Top Bottom