Pembetatu ya Nitoke vipi: Dkt. Kigwangala, Lusinde (Kibajaji) na Malecela (Le mutuz)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
25,436
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
25,436 2,000
Hawa wanasiasa maarufu watatu ukiangalia historia zao za utotoni zinafanana wote wamepata malezi ya mzazi mmoja mmoja ( mama). Ila katika kuyafikia mafanikio ya kisiasa walipitia njia " ngumu" tofauti na hatimaye leo ni mawaziri, wabunge na makada maarufu wa chama tawala.

Katika pembe tatu ya nitoke vipi Dr Kigwangala aliielekea elimu, Kibajaji akakimbilia vibarua/umachinga na Le mutuz " alizamia" kwenda kufanya kibarua melini. So Pembetatu hii inakukumbusha kuwa uwapo katika mazingira yoyote ya kinyonge endapo utawekeza katika juhudi na kutokata tamaa basi mafanikio yanakusubiri. Jumamosi njema!
 
MTOCHORO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Messages
3,005
Points
2,000

MTOCHORO

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2016
3,005 2,000
Hawa wanasiasa maarufu watatu ukiangalia historia zao za utotoni zinafanana wote wamepata malezi ya mzazi mmoja mmoja ( mama). Ila katika kuyafikia mafanikio ya kisiasa walipitia njia " ngumu" tofauti na hatimaye leo ni mawaziri, wabunge na makada maarufu wa chama tawala.Katika pembe tatu ya Nitoke Vipi Dr Kigwangala aliielekea elimu, Kibajaji akakimbilia vibarua/umachinga na Le mutuz " alizamia" kwenda kufanya kibarua melini. So Pembetatu hii inakukumbusha kuwa uwapo katika mazingira yoyote ya kinyonge endapo utawekeza katika juhudi na kutokata tamaa basi mafanikio yanakusubiri. Jumamosi njema!
Yaani hapo unaeweza kumtumia kufundisha watu ni Kibajaji tu. Maana ameishi maisha halisi na hakuwa na namna ya kutoka isipokuwa muujiza wa Mungu.

Lemutuz baba yake ameshika nyadhifa kubwa mtu wa pili kutoka Rais ni balozi marekani akiwa na miaka 30. Huyo kama kapitia magumu ni story za kutunga ni uwongo.
Kigwangala baba yake alikuwa Msomi hata yeye kusoma kafuafa njia tu kukaa na mama ni yeye but hata mama yake aliyekaa nae hamtunzi ana laana.

Kibajaji ni muujiza wa Mungu unaoishi kutoka sifuri hadi kuwa alipo
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
25,436
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
25,436 2,000
Yaani hapo unaeweza kumtumia kufundisha watu ni Kibajaji tu. Maana ameishi maisha halisi na hakuwa na namna ya kutoka isipokuwa muujiza wa Mungu.

Lemutuz baba yake ameshika nyadhifa kubwa mtu wa pili kutoka Rais ni balozi marekani akiwa na miaka 30. Huyo kama kapitia magumu ni story za kutunga ni uwongo.
Kigwangala baba yake alikuwa Msomi hata yeye kusoma kafuafa njia tu kukaa na mama ni yeye but hata mama yake aliyekaa nae hamtunzi ana laana.

Kibajaji ni muujiza wa Mungu unaoishi kutoka sifuri hadi kuwa alipo
Le mutuz alizaliwa nje ya ndoa kumbuka hilo!
 
Unbounced

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
317
Points
500

Unbounced

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
317 500
Yaani hapo unaeweza kumtumia kufundisha watu ni Kibajaji tu. Maana ameishi maisha halisi na hakuwa na namna ya kutoka isipokuwa muujiza wa Mungu.

Lemutuz baba yake ameshika nyadhifa kubwa mtu wa pili kutoka Rais ni balozi marekani akiwa na miaka 30. Huyo kama kapitia magumu ni story za kutunga ni uwongo.
Kigwangala baba yake alikuwa Msomi hata yeye kusoma kafuafa njia tu kukaa na mama ni yeye but hata mama yake aliyekaa nae hamtunzi ana laana.

Kibajaji ni muujiza wa Mungu unaoishi kutoka sifuri hadi kuwa alipo

Kumbe kibwagala ana laana hamtunzi *****
 
Forum statistics

Threads 1,382,772
Members 526,482
Posts 33,837,443
Top