STAA wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kumtia matatani askari magereza mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, Ijumaa Wikienda lilishuhudia mkanda mzima.
Ndani ya...
mbosso khan aka mshedede ametuletea kitu kipya chakuitwa Alele.
balaa alilokuja nalo huyu mnyama ndio maana watu wamepagawa wanataka kukata umeme tishio jipya mjini mhind wa kusin
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu na muziki Bongo, Baby Madaha ameeleza kuwa katika maisha yake hakuna kitu kilichowahi kumtafuna na kumletea shida kwenye familia yake kama skendo ya kutumia...
Habari wadau.
Nipo benki Fulani napata huduma muda huu saa sita na dk 16 mchana. Wamefungulia clouds TV ila sauti hakuna. Kuna mgeni wa kike kavaa kigauni chekundu na viatu vya haja. Huyu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwanna
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Hapo kipindi cha nyuma ngosha the don alihusishwa kuwa na beef na john makin mwamba wa kaskazin
Beef hilo...
Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa jana jioni alikwenda Genk nchini Ubelgiji nyumbani kwa Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars...
Na kwa sasa clouds wanampandisha Aslay achukue nafasi poleni sana wale wanazi wa kiba.
Ni msanii Fulani mbovu mwenye nyodo anayeishi kwa kivuli cha diamond
Bodigadi wa Diamond, Mwarabu Seleman Mirundi, akifanya mazoezi ya kikomandoo kwenye msitu wa chuo kikuu kuhofia watu wasione mazoezi yake.
Juu picha za wanajeshi wa Irani ambao pia ni...
East Africa radio wamegoma kucheza nyimbo za WCB lakini Leo hii nimewasikia wakipeperusha tangazo la Diamond Platnumz la Diamond Karanga huku wakilipa promo kubwa sana..
Pia na Clouds Fm radio...
halla jf...
kama kawaida jumapili nipo nyumbani nimechill kuisindikiza weekend, kwa kawaida mara nyingi mm sio mdau wa clouds radio/tv, kwa hiyo top 20 huwa sisikilizi sana, badala yake huwa...
Jamaa anafanya tour kwenye redio zisizo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata za Dar esa salaaam hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm tatizo ni nini hivo ivi redio havina impact...
Kwa wapenda ubuyu, Mange kaliamsha dude huko..
Part 1.
Mimi Tena nilete janja janja ya Sallam toka lini?? .
.
Story iko hivi. Mnaonijua toka enzi za uturn I think mtakuwa mnakumbuka kuwa...
Hawa clouds ni wazi bwana makonda ana kila haki ya kutowaomba msamaha na kubaki na msimamo wao
Clouds ni chombo cha habar cha kuchunga sana,ni kama kakundi Fulani kakujenga fitna na kuongeza...
Toka asubuhi mambo huko insta yamekuwa wanaita ...hiviiiiiii ...Maana mwanadada anakuja na list ya wanawake waliotembea na mmoja ya viongozi wakubwa kidini tena akidai anawala mkundy bila ajizi...
Beautiful onyinye wa bongo kama wanavyo muita watu. Miss Tanzania Wema Sepetu aka sepetunga ni kwamba ameshindwa kurudisha account yake ya Instagram ambayo inasaidika imekuwa hacked (Kudukuliwa)...
Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya kilimo cha bangi, amejiweka karibu na mwanamuziki Snoop ambaye nae tayari anafanya shughuli za uzalishaji wa...
Rachel najua upo humu JF. Najua nikikushauri utaniblock.
Baada ya ile hotel kutangaza offer yao ya Tsh 22,400,000/=, huyu mdada akaanza kupost hivi;
Usiyemtaka amekuja mwenyewe. Ukiona manyoya...
Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za...
Mwanandondi msataafu ameripotiwa kufanya kazi na mwanamuziki Snoop Doggy huku akijifinza kuhusu bangi.
Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya...
Joseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media.
Ni ndoto yangu kufikia mafanikio kama yake.
Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.