LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka tamthilia,miriam uswahili umekujaa,umeharibu kipindi cha watu,ujuaji mwingi mno,daah!!