Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,571
Nimaona kionjo chake kidogo, ngoma iko poa japo sijajua kama ni official release kwa kuwa Jason hajaiweka kwa page take ya IG. Vijana was WCB wanazidi kuchanja mbuga.
Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu
Ahahaaaaaaaaaaah...Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu