Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Wasanii wetu siku hizi wanaiga utamaduni wa kimagharibi, sijui tunawajengea nini watoto wetu. Hii imekaaje wasanii hawa kupaka rangi kichwani mwao haswa ukizingatia ni wasanii wa kiume hawa!