princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 526
Baada ya kupotea kwenye mtandao kama wiki mbili hivi bwana insta amemrejeshea acc yake comment oyoo kumkaribisha tena
Hahaha, ngj nitafute iphone x nimfate dm
Usisome mkuuSawa, aache matusi
N shidaNdani ya Dakika 23 ana comments 1300 aiseeeh huyu ni Balaa
Comment zinazidi kutiririka
What if kama insta wenyewe walimwambia account yako itarudi kuanzia tr. 15?Mange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.
Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.
Umenikumbusha Roma Mkatoliki!Mange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.
Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.