Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi. Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu? Kwakweli...
13 Reactions
90 Replies
5K Views
Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania. Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Alipofikia huyu bwana, anatakiwa azibitiwe na Serikali moja kwa moja, naona basata wanamuogopa. Sipendi kunadili haya mambo yao ila naona ni too much. Sina chuki na maendeleo yake ila.. Anaimba...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
wana jamii! nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna uhusiano wowote kati ya Mwanasiasa Tundu Lissu na mwimbaji wa nyimbo za injili John Lissu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hata ukipress hio trend unaona vyombo vikubwa vya nigeria vikmzunguzia yeye. Tangia mwamba amepata jiko kutoka nigeria, amekuwa talk of town karibia. Africa Magharibi nzima. Sasa aitumie kama...
5 Reactions
4 Replies
742 Views
Habari wadau. Jana juma jux alikuwa anafunga ndoa ya kimila na binti maarufu nigeria . Ndoa hiyo ina faida kubwa sana kwa jux kibiashara. Nigeria ina zaidi ya watu milioni 200. Na wengi wao...
26 Reactions
140 Replies
8K Views
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia. Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo...
20 Reactions
84 Replies
13K Views
"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini". "Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate...
14 Reactions
111 Replies
6K Views
Wadada wengi ndio maana mnashindwa kupata real love kwa mambo mafupi sana. Kuna kipindi fulani nilimsikia baba levo kuachana na mke wake ni kwa sababu ya dini ila walizaa. Sasa baba levo Mpunga...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco...
24 Reactions
185 Replies
15K Views
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond Either...
17 Reactions
216 Replies
21K Views
Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini Mcheki hapo akiimba live maana naona kijana...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini,Kwa mda mrefu sana nimekuwa nikujiuliza maswali mengi ambayo nimeshindwa kuwa na Majibu yake!!!,Lakini am sure hapa Jamii Forum nipata majibu sahihi!! Siwezi kumuweka MANGE KIMAMBI kama...
10 Reactions
89 Replies
18K Views
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu. Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari za wakati huu natumaini mu wazima wa afya, Najua watu wengi humu jukwaani ni watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram na wengi wetu tunajua namna sahihi ya matumizi ya huu mtandao...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao...
9 Reactions
75 Replies
5K Views
Siku saba sasa zimepita tangu huyu binti menina ambaye ni msanii, mc, mwalimu wa madrasa na mchekeshaji lakini pia ni professional commercial Hawks, kutupia mitandaoni picha zake za uchi akiwa...
7 Reactions
371 Replies
82K Views
Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa Msanii Grace...
12 Reactions
160 Replies
10K Views
Back
Top Bottom