Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

“Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost...
2 Reactions
1 Replies
548 Views
Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani...
34 Reactions
91 Replies
8K Views
Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu . Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo. Taarifa ile ilimtaka MIIKKA...
39 Reactions
48 Replies
4K Views
Hongera sana kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha, tazama mbele brother na endelea kusamehe na kusahau yale ambayo yalitokea kipindi ulipojitoa kwa ajili ya Lisa. Karma is a bitch! Nature itakulipia...
15 Reactions
90 Replies
5K Views
Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu...... Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk Amina Chifupa...
10 Reactions
123 Replies
6K Views
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo...
32 Reactions
215 Replies
31K Views
Umofia kwenu wana JF, Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa Wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard, amefariki leo mjini Dodoma. Habari hizi...
4 Reactions
208 Replies
64K Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu. Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki. Sijui...
10 Reactions
95 Replies
12K Views
Steven Kanumba Popular Tanzanian and occasional Nollywood actor, Steven Kanumba, has been reported dead. The cause of his death has not been officially confirmed, but reports have it that he...
13 Reactions
2K Replies
358K Views
Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Rapa Fid Q aachia ngoma mpya inayoitwa "Kazi Na Utu Tunasonga Mbele"
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema.... "Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu". Wana familia wa New day...
10 Reactions
158 Replies
8K Views
UPDATE: Kuna tetesi label mama inayowasimamia wote inataka kumpa Drake Dola milioni 250 (shilingi bilioni 650+) afunge kesi Drake na Kendrick wapo chini ya label tofauti-tofauti, lakini label...
4 Reactions
9 Replies
807 Views
Najiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili. Maana ukimfatilia...
6 Reactions
39 Replies
12K Views
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili. Amefariki usiku wa leo. --- TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa...
38 Reactions
608 Replies
106K Views
Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa...
9 Reactions
79 Replies
4K Views
Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao Mratibu wa...
1 Reactions
1 Replies
963 Views
Back
Top Bottom