Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Huko mitandaoni kona za Instagram kumechafuka habari kubwa ni kumuhusu Manara.... Kwa sasa wadau wanasema lile jina lake la semaji halimfai bali aitwe Sengenyaji kwa sbb ya tabia zake za...
19 Reactions
285 Replies
18K Views
Kwanza nianze kumpongeza msanii mwimbaji Nikki wa pili ambaye kwa mujibu EATV anasoma PhD kwa sasa. Tanzania atakuwa msanii wa ngapi kuwa noyo PhD? Afrika Mashariki je Afrika Mashariki na Kati...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili. Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
5 Reactions
418 Replies
47K Views
msomi wa Phd anaandika kujizibiti na hajashtuka zaidi ya masaa 8,na hii sio typing error, anazidiwa kabisa na mtoto wa shule ya msingi
2 Reactions
72 Replies
18K Views
Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu. Inaonekana Alikiba ana maadui wengi...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hivi Huyo kijana wa Mwanza amechoma mercedes benz Kwann asingepeka kwa watumishi wakiliombea au akawapa msaada watumishi wa Mungu wa Huko vijijini angepata dhawabu Kitendo hicho kitakuwa na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31. Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini...
17 Reactions
152 Replies
21K Views
https://www.youtube.com/watch?v=YW3ri4d3HQc
1 Reactions
10 Replies
901 Views
Katika kitu ambacho Irene Uwoya anakijutia na ataendelea kukijutia katika maisha yake ni kukubali kumvulia kufuli dogo janja, wengi sana tulimuonya tangu awali lakini alijifanya kuziba masikio na...
2 Reactions
98 Replies
75K Views
Nimeandika sana Threads zako hapa JamiiForums na Kukushauri mengi ila una Kiburi, Ushamba na Upumbavu mwingi. Haji Manara hivi kuna Mtu ambaye hajui na nakumbuka hata Baba yako alishakuambia kuwa...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanaume anayesambaza picha za utupu za mpenzi wake,hana akili. Kushinda ile kesi haimaanishi hakufanya,mahakama zetu tunazijua Ukiangalia matwndo yake tu unajua Mwijaku amekulia makuzi ya...
22 Reactions
93 Replies
10K Views
Leo nimeskiliza nyimbo mbili Za huyu Msanii kutoka Kenya. King Kaka (1) Swahili Shakespeare (2) Wajinga Nyinyi. Daah huyu jamaa anajua kuandika Bana.
1 Reactions
8 Replies
656 Views
Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi...
14 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa wale wa zamani kidogo wanafahamu hawa ni moja wa madansa wenye heshima kubwa. Leo ndani ya Isumba lounge zamani Jolly Club patakuwa na mpambano kati ya wakongwe hawa wa disko. Kamakawa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
TAARIFA KWA UMMA Ndugu MTEGANDA HUSSEIN almaarufu "MTEGANDA", pichani, ametoweka jijini Mbeya tangu tarehe 25 December,2024 majira ya saa saba usiku. MTEGANDA alikuwa jijini Mbeya kwaajili ya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom