Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa. Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya...
5 Reactions
71 Replies
4K Views
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii wa uigizaji Joyce Mbaga (32), maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema Mahanyu (31), itatajwa leo Jumatatu Machi 24, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
2 Reactions
10 Replies
771 Views
Wakuu Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Heri ya Siku ya Kuzaliwa ya Miaka 60 kwa Mwimbaji Mashuhuri wa Afrika Kusini, Mtunzi wa Nyimbo na Mwigizaji Yvonne Chaka Chaka Tunamtakia mwimbaji, mtunzi wa nyimbo wa Afrika Kusini, mwigizaji...
14 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo; 1. Dr Remmy Ongala 2. Marijani Rajabu 3. John Komba 4. Baraka Mwinshehe 5. Banzastone 6. Saida Karoli 7. Papii Kocha 8...
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Naibu waziri wa sanaa, utamaduni na michezo, hamisi Mwinjuma almaarufu MWANA FA.......kipindi cha huko nyuma alishawahi kutoa hii nyimbo inaitwa KAMA ZAMANI FT MAN DOJO NA DOMOKAYA Hii ni ngoma...
3 Reactions
11 Replies
891 Views
Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msanii wa R&B Juma Jux hatimaye amepata nafasi ya kumtambulisha rasmi mke wake, Prisca ama priscy, kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na mke wake Mama...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwanzilishi wa harakati za Piga Kambi Utalii wa Ndani, Lisa Karl Fickernscher ambaye alikuwa ni mke wa msanii wa Hip Pop hapa nchini Mabeste amefunguka kiundani kuhusu maisha yake na aliyekuwa...
12 Reactions
610 Replies
69K Views
Wakuu Msanii wa muziki na Mfanyabiashara Diamond Platnumz amesema mazingira mazuri ya biashara yamemfanya aendelee kupiga hatua uwekezaji na kuzindua brand mpya. Amedai kama kuna mtu ambaye...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mnaokumbuka jumba la dhahabu mtakuwa mshapata huyu dada silijui jina. Ila kiukweli sema ndio wakati wa uzuri kulikuwa hakuna mazuri mda ule. Ilikuwaje mwisho wa siku kuwa na kichaa fulani.
9 Reactions
68 Replies
9K Views
The young Tanzanian lady who is discovered to be the lady in Africa with the biggest backside goes by the name Janeikunda Evarist Rimoy while her nickname is known as Sanchi. The word Sanchi was...
13 Reactions
159 Replies
38K Views
Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729. Kutokana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Gal Gadot’s star on the Hollywood Walk of Fame was destroyed just hours after being placed! Hollywood walk of fame is a place of legends 🙌 hopefully she will understand that now.
1 Reactions
6 Replies
609 Views
KWA WALE WASIOFAHAMU HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA. JAY MELODY VS Z ANTO
10 Reactions
30 Replies
12K Views
Salam wakuu. Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu background ya ndg yangu, kaka yangu Mrisho Mpoto. Amezaliwa wapi, amesoma wapi na n kabila gank huyu mtu. Uvaaje wake wa magunia source yake n...
2 Reactions
47 Replies
21K Views
Muziki wa singeli umeshika sana wakati huu hasa mikoa ya Pwani, na mikoani kila mtu alitaka kujua ni muziki wa aina gani, si kwamba haukuwepo zamani ila jitihada za Efm zilichangia ushike hatamu...
12 Reactions
55 Replies
11K Views
Anaandika mwanadada Nicole Joy Berry kupitia ukurasa wake wa Instagram: Habari, Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote wenye Nia njema nami. Naomba sana Taarifa za MICHANGO YA FEDHA kwa...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom