Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,623
Likes
4,265
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,623 4,265 280
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
 
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
9,856
Likes
7,402
Points
280
Age
31
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
9,856 7,402 280
Sijawahawi kumuamini uyo maku ata siku

Usichokijua huyo anategemea mitandao na kujiuza ili aweze kuishi zamani alikuwa anategemea kiblog chake uchwara siku hizi hakatembelewi amehamia instagram

Nilishangaa baadhi ya wanasiasa kimuamini huyo mjinga

Such an insanity woman
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
12,275
Likes
33,040
Points
280
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
12,275 33,040 280
Mara nyingi mwanamke akikutukana mwanaume na kupenda kufuatilia maisha yako bila sababu ya msingi ujue anakukubali sana. Saikolojia za hawa viumbe iko kinyume kabisa na sisi: Kiufupi Mange anamkubali sana Diamond lakini ndiyo hivyo hawezi kumpata.
 
okiwira

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
307
Likes
186
Points
60
okiwira

okiwira

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
307 186 60
We jamaa UFIPA inakuona ujue.

Sijawahawi kumuamini uyo maku ata siku

Usichokijua huyo anategemea mitandao na kujiuza ili aweze kuishi zamani alikuwa anategemea kiblog chake uchwara siku hizi hakatembelewi amehamia instagram

Nilishangaa baadhi ya wanasiasa kimuamini huyo mjinga

Such an insanity woman
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
1,234
Likes
1,627
Points
280
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
1,234 1,627 280
Mkuu ukiamua kujitengenezea maadui wengi unakuwa kama umetengwa fulani hvi..kiufupi huyo bint anakosa kitu ambacho wanadamu wote tunakihtaji..huruma , upendo na kuthaminiwa..anajihsi mpweke sana...kibaya zaidi anaona hawez rudisha utu wa kuthaminiwa kama zaman...ndo matokeo yake hayo...anajarbu kupambana vita asiyoiweza
 
RGforever

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Messages
6,920
Likes
3,226
Points
280
RGforever

RGforever

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2011
6,920 3,226 280
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Hukumbuki Shekhe alimpa Mwaka Mmoja Tu atakuwa Amepotea ..

Ndo maana Yake Hii sasa
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
12,275
Likes
33,040
Points
280
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
12,275 33,040 280
Eti ndio huyu angenishawishi niandamane hahah,thubutuuuuu
Never underestimate the power of stupid people in large groups.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~George Carlin~~~~~~~~~~~~~

Tena hawa ndiyo wabaya sana kwasababu wanakuwa na mashabiki wengi wasiokuwa na kichwa wala miguu. Kule Uchina aliyemrudisha Mao Zedong madarakani mwaka 1966 kipindi cha The Curtural Revolution alikuwa ni mke wake Jiang Qing aliyekuwa mwigizaji wa filamu. Binafsi huwaga siwapuuzi watu wa hivi kwasababu they are reckless and volatile.
 
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,623
Likes
4,265
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,623 4,265 280
Sijawahawi kumuamini uyo maku ata siku

Usichokijua huyo anategemea mitandao na kujiuza ili aweze kuishi zamani alikuwa anategemea kiblog chake uchwara siku hizi hakatembelewi amehamia instagram

Nilishangaa baadhi ya wanasiasa kimuamini huyo mjinga

Such an insanity woman
Sasahivi naona kakomaa kumtukana Zari kawa Kama kichaa mpaka anajirecodi videos. Mtu mzima huwazi kusa obsessed na maisha ya mtu vile
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,343
Likes
5,131
Points
280
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,343 5,131 280
Sasahivi naona kakomaa kumtukana Zari kawa Kama kichaa mpaka anajirecodi videos. Mtu mzima huwazi kusa obsessed na maisha ya mtu vile
Hao wote mnaowasema including huyo Diamond wenu na Zari wanavuna wanachopanda. Vitendo viovu wanavyotenda kwenye jamii ni vibaya na vinaharibu zaidi ya matusi wanayotukanwa.
 
Mr. Django

Mr. Django

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Messages
1,546
Likes
1,627
Points
280
Mr. Django

Mr. Django

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2014
1,546 1,627 280
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Naona nyumbu mmeanza kuelewa huyo mwanamke hamnazo!! Maana ndo ilikuwa source yenu ya kila kitu. Da mange da mange, tulieni hivyohivyo
 
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,623
Likes
4,265
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,623 4,265 280
Naona nyumbu mmeanza kuelewa huyo mwanamke hamnazo!! Maana ndo ilikuwa source yenu ya kila kitu. Da mange da mange, tulieni hivyohivyo
Nyumbu? Sijawahi kumuamini huyu Dada yapo Kuna wakati anajaribu kujenga hoja
 
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,623
Likes
4,265
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,623 4,265 280
Hao wote mnaowasema including huyo Diamond wenu na Zari wanavuna wanachopanda. Vitendo viovu wanavyotenda kwenye jamii ni vibaya na vinaharibu zaidi ya matusi wanayotukanwa.
Vitendo vibaya? unadhani Kuna mtu ambae anafanya Kila kitu sawa kwenye jamii
Unatetea ujinga kwaiyo vile anatukana ndo inasaidia nini
 
Forum statistics

Threads 1,235,536
Members 474,641
Posts 29,226,002