Mange ana matatizo gani na familia ya Diamond Platnumz!?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
3,376
2,000
Habarini,Kwa mda mrefu sana nimekuwa nikujiuliza maswali mengi ambayo nimeshindwa kuwa na Majibu yake!!!,Lakini am sure hapa Jamii Forum nipata majibu sahihi!!

Siwezi kumuweka MANGE KIMAMBI kama ni celebrity kwasababu sijamjua yeye nini kinamfanya awe celebrity ila nitamterm kama mtu anaye utafuta ucelebrity kwa hali na mali kupitia yale anayo yafanya!!! Kwa kile anacho kifanya huwezi dhania na kufikiria kuwa ni Mama Mtu mzima wa Watoto Watatu!!! Lakini huo ndo ukweli!!!

Sina shida na yeye ila mimi najiuliza yeye ana nini na Familia ya Diamond? Ana matatizo gani na Familia ya Diamond??? Na yote haya ukiangalia mzizi wake utagundua kuwa shida sio familia ya Diamond shida ni Diamond! Sasa najiuliza kuna nini nyuma ya Pazia kati ya Mange na Diamond platnumz??

Kabla ya kuleta huu uzi hapa nilijaribu kudodosa dodosa kwa wajuzi wa mambo ndipo wakaniambia tarifa zisizo rasmi kuwa DIAMOND alisha mchomolegea MANGE KIMAMBI kimapenzi,so mange amekuwa ni kama analipiza kisasi baada ya kuona Mafanikio makubwa alinayo sasa Ndugu yetu Diamond! Inasemekana Mange kimambi alipata mshtuko baada ya kuona Diamond taratibu akifanikiwa na amekuwa akifanya kila mbinu za kumtaka kumshusha Diamond na kumgombanisha lakini zimekuwa zikigonga mwamba!

Katika hilo Mange alimkalia Diamond kooni na kumtaka kuachana na Zari kwa kuwa Zari ni mkubwa Kiumri kwake hivyo ni vizuri Diamond akatafuta Dogodogo kitu ambacho kiligonga mwamba lakini Zari alichafuliwa sana!!

Amekuwa akiiponda kazi nyingi za Diamond na kila juhidi anazo zifanya Diamond lakini Diamond akuwa imara na hata hateteleki!!

Nimeona Mara nyingi akimponda Diamond kuwa shoo zake hazijazi watu na kuwa Diamond kachuja amemkalia kooni kwa mambo mengi sana na kufanya mm n wengine tujiulize maswali kuna nini??

Sahizi anamshutumu mke wa Diamond na kuwa ana Watoto wengi na Alidanganya kusema ana Watoto 3 kitu ambacho sijui kama kina ukweli zari akadanganya kwa mtoto wake na mtoto wake asiseme chochote!!!

Siwezi kiweka vyote hapa Ambavyo mange anawakalia kooni familia ya Diamond lakini nahisi huyu ni mtu wa kwanza kuishi Marekani huku akiwa na Uswahili sanaaa

Sipo Kichwani mwa Zari lakini Am sure 100% zari atakuwa anajutia kuwa na uhusiano na Mtu toka Tanzania!!!! Na ambacho atakuwa anajutia sana ni uswahilii walio nao wabongoo!!! Japo ataficha lakini 100% Zari haya yatakuwa mauhusiano yake ya kwanza kuwa anajutia kuweko huko,ukiangalia uswahili wa mama Mkwe na Baadhi ya watanzania kwa ujumla!!! Mama ake Zari ni mfano wa kuigwa!!!

Lakini Swali langu ni je Mange kuna nini na Diamond?
 
lil wayne

JF-Expert Member
Apr 15, 2016
994
1,000
MANGE wana bifu na LE MUTUZ na Le mutuz yupo karibu na DIAMOND?

Anataka kuongeza followers INSTA?
Anataka arudishe umri wake nyuma watu wajue ni kijana ndo mana anafatilia mambo ya vijana?

Anamuonea tamaa mzee mwenzake ZARI. Kupata mchumba kijana?
Anamtaka Diamond?
Sifa?
 
jackline1

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,120

mimi hapa nimeshindwa kumuelewa Mange,Le mutuz ni size yake,wote wana njaa,hawajui where the next meal is gonna come from-lakini kuingia anga za Zari ni a big no,yeye na Zari wako level tofauti sana yaani ni opposite ends-I think jealousy inamsumbua mange
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
Na nyinyi mna tatizo gani na Mange?
Kila siku Mange Mange...

Ni wazi mko obsessed naye na siku akipotea kwenye hii mitandao ya kijamii mnaweza hata kuugua maana tayari dalili zote za Mange Obsession Syndrome mnazo.
Haiwezekani mtu mmoja awe anawapelekesha hivyo!
 
jackline1

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,120
2,000
Na nyinyi mna tatizo gani na Mange?

Kila siku Mange Mange...

Ni wazi mko obsessed naye na siku akipotea kwenye hii mitandao ya kijamii mnaweza hata kuugua maana tayari dalili zote za Mange Obsession Syndrome mnazo.

Haiwezekani mtu mmoja awe anawapelekesha hivyo!

Gotdamnit.
Hatuko obsessed,ila tunashangaa how can a woman aliyetoka kwenye womb ya another woman be consummated with so much hate-she makes even the likes of Hitler look like choir boys
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,132

wako busy kurefresh page yake Instagram kuona kapost nini
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
Hatuko obsessed,ila tunashangaa how can a woman aliyetoka kwenye womb ya another woman be consummated with so much hate-she makes even the likes of Hitler look like choir boys

Hapana aisee.
Hebu jaribu kufanya utafiti uone ni threads ngapi zinazomjadili huyo mtu.
Halafu, mbona hushangai pia chuki inayoelekezwa upande wake?

Hujawahi kuona baba yake [ambaye inasemekana ni marehemu] akitukanwa?
Hujawahi kuona mama yake [ambae naye inasemekana ni marehemu] akitukanwa?
Hujawahi kuona watoto wake wakitukanwa?

Kwa nini mnakuwa vipofu wa yale mabaya yanayoelekezwa kwake na mnaishia kuyaona ya kwake tu?
Au yeye huwa hatukanwi?
 
pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
3,786
2,000
Ndo tatizo la kuchanganya kazi na familia si ameamua kuweka kila kitu public domo haya ndo madhara yake watu wanamtusi mpaka mama yake mzazi kitu ambacho sio sahihi
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
jackline1

Yaani katika kugombana kwake kote huko yeye tu ndo huwa anaanza?
Kuna ushahidi kuwa ni yeye tu ndo huwa anaanza kila ugomvi?

Siamini aisee. Sidhani kabisa kama hao anaotukanana nao wote ni malaika wasioweza kuanzisha ugomvi.
 
Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,443
2,000
Nilivyokuwa mdogo nilidhani ukienda marekan unaachana na tabia za kiswahili Swahili ila kwa anayofanya mange kila siku kusema watu, majungu, matusi na kusengenya wenzake naanza kuamini anaweza kuwa anaishi tandale ya marekani....
 
jackline1

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,120
2,000
Yaani katika kugomba kwake kote huko yeye tu ndo huwa anaanza?

Kuna ushahidi kuwa yeye ni yeye tu ndo huwa anaanza kila ugomvi?

Siamini aisee. Sidhani kabisa kama hao anaotukanana nao wote ni malaika wasioweza kuanzisha ugomvi.
ugomvi sio lazima auanzishe yeye,but ni yeye ndio wa kwanza kuuleta katika social media-usemi wa what happens in the streets ends in the streets hau apply kwake
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
ugomvi sio lazima auanzishe yeye,but ni yeye ndio wa kwanza kuuleta katika social media-usemi wa what happens in the streets ends in the streets hau apply kwake

Simtetei ila naona wakati mwingine huwa analaumiwa pasi na haki.

Yeye na wote anaotukanana nao ni wale wale tu.

Huwezi ukamlaani yeye na kuwaacha hao wa upande wa pili.
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,132
2,000
sasa leo insta ilikuwa katika meltdown alivyoandika kuhusu Zari-but in the end Zari kapost picha mmoja tu,ikaonekana Mange kaingizwa choo cha kiume-totally wrong
haaa huyo Mama Zulekha (Zari) alishaniblock. kaweka picha gani iweke hapa nione
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,330
2,000
Na nyinyi mna tatizo gani na Mange?

Kila siku Mange Mange...

Ni wazi mko obsessed naye na siku akipotea kwenye hii mitandao ya kijamii mnaweza hata kuugua maana tayari dalili zote za Mange Obsession Syndrome mnazo.

Haiwezekani mtu mmoja awe anawapelekesha hivyo!

Gotdamnit.

OMG

You????!!!!!! I guess amekufahamu kwa ID leo unamtetea....lol

just jokin'
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,330
2,000
Simtetei ila naona wakati mwingine huwa analaumiwa pasi na haki.

Yeye na wote anaotukanana nao ni wale wale tu.

Huwezi ukamlaani yeye na kuwaacha hao wa upande wa pili.

Ndugu wewe potea sana now, kama huelewi issue no tetea tetea basi. Just read and sepa
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,993
2,000
Ndugu wewe potea sana now, kama huelewi issue no tetea tetea basi. Just read and sepa

Kuna pande mbili.

Mange upande mmoja na dunia upande wa pili.

Haiwezekani Mange tu ndo akawa na hatia peke yake.

Yeye akitukana inakuwa nongwa. Akitukanwa anastahili.

Come on now....
 
Miss-Thang

JF-Expert Member
Mar 4, 2009
365
250
Hapana aisee.

Hebu jaribu kufanya utafiti uone ni threads ngapi zinazomjadili huyo mtu.

Halafu, mbona hushangai pia chuki inayoelekezwa upande wake?

Hujawahi kuona baba yake [ambaye inasemekana ni marehemu] akitukanwa?

Hujawahi kuona mama yake [ambae naye inasemekana ni marehemu] akitukanwa?

Hujawahi kuona watoto wake wakitukanwa?

Kwa nini mnakuwa vipofu wa yale mabaya yanayoelekezwa kwake na mnaishia kuyaona ya kwake tu?

Au yeye huwa hatukanwi?
Analianzishaga mwenyewe huyu. Anataka umaarufu kwa bei yoyote, na kafanikiwa haswaaa. Haipiti siku, kaishatajwa mahali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom