Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Anajulikana Kama Jacky Pemba alikuwa akiishi Bongo Zaman Akina Fm Academia Akina Bella na Bendi yake wamezifaidi hela zake sana Huyu Jamaa kiufupi ni tajiri (Nasikia utajir wake umekuja kutokana...
5 Reactions
108 Replies
25K Views
Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate...
2 Reactions
143 Replies
44K Views
Moja kati ya viumbe vinavyoishi maisha ya maigizo ni wasanii wetu wa Mziki na Maigizo hapa tz, Ukiangalia maisha wanayoishi wengine kwa kuigiza na wengine kwa kutumia vya kwao kweli lakini sio...
14 Reactions
34 Replies
4K Views
Wanajamvi nnaomba kuwaulizia hawa watu walikua na kipindi cha mahusiano, hivi bado wanaendelea na kama ndio kipo lini na saa ngap maana wengine tunapata shida kujua vpnd vya tv vpo lini na lini...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Nauliza tu.utaona msanii kama hajatoga sikio basi kavaa heleni za kubandika.
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Hichi Kichwa nilikiona kwenye Komaa Concert ya EFM Mwanza hakika kwa upande wa kina dada yeye ndie aliegusa nyoyo zetu wasukuma na kutuacha Hoi, Kama kuna mtu ambaye yupo karibu nae huku Tafadhali...
0 Reactions
70 Replies
13K Views
The hit maker wa "Heart attack" na RnB super star Trey Songs bado anasumbua kwenye social networks kuhusiana na ishu yake ya kua shoga. Kupitia ukurasa wake wa tweeter aliwahi ku-confess kua yeye...
0 Reactions
57 Replies
12K Views
WENGI ukiwauliza kuwa wanamfahamu vipi Kojate Mwegelo, jibu lao litakuwa ni Mshindi wa pili wa Miss Tanzania mwaka 2006. Wengine watakuambia ni Miss Temeke mwaka 2006 na pia Balozi wa bia ya...
0 Reactions
61 Replies
26K Views
Waungwana salamu kwanza! Katika pitapita zangu YouTube nimekutana na remix ya wimbo wa diamond "sikomi" ukiwa umeelezwa kuimbwa na Zari. Nimesikiliza ndani pia naona mwanadada aliyeimba humo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond' amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna...
3 Reactions
182 Replies
39K Views
Nimekuwa nikiona hawa watu wanne wakiwa karibu sana na kushirikiana sana katika mambo mbalimbali hali iliyonifanya nijiulize kuna uhusiano gani. Najua lazima watakuwa ndugu lakini sijajua ni...
1 Reactions
41 Replies
13K Views
Hakika hawa vijana ni mfano wa kuigwa wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa dar kijana machachari paul makonda ,wamekuwa wakinivutia sana pia na kijana william malecela au lemutuz nae ni mfano wa kuigwa...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
MWANAMUZIKI ambaye hivi karibuni aliachia wimbo wake uitwao Mipaka, John Simon ‘Joh Makini,’ amefungukia kupotezwa kimuziki na baadhi ya wanamuziki wanaofanya vizuri kwamba si kweli, bali...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope. Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi...
0 Reactions
101 Replies
19K Views
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione...
1 Reactions
46 Replies
15K Views
Mayasa Mariwata na Hamida Hassan Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Moto wa maneno makali kati ya 50 Cent na Floyd Mayweather Jr umeendelea kuwashwa na wawili hao kwa mara nyingine tena kwa kudhalilishana kifedha. 50 Cent na Mayweather Jr Floyd Mayweather ndiye...
3 Reactions
45 Replies
9K Views
Wakuu mara kadhaa nimejaribu kuangalia hii tv na imeishia kunichosha tu... Kwa kifupi nilitegemea itakuwa tv ambayo italeta mapinduzi katika sekta ya burudani lakini imekuwa tofauti kabisa...
9 Reactions
46 Replies
10K Views
VIDEO Queen Sasha Kasim ‘Kim Sasha ’ hivi karibuni amedaiwa kutapeliwa pesa za gari na mpenzi wake (jina linahifadhiwa) ambaye ni mume wa mtu kitendo kilichomsababisha adate na kukimbilia Zanzibar...
0 Reactions
160 Replies
39K Views
Hii imejumuisha wanamuziki, waigizaji watangazaji nk. Naona Tanzania huku ndio tunakojivunia Nigeria na Tanzania ina mastaa wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram barani Afrika...
0 Reactions
41 Replies
29K Views
Back
Top Bottom