Mwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel...
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti...
Muigizaji mkongwe nchini India, Salman Khan amehukumiwa kwenda jela miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kuua wanyama jamii ya swala miaka 20 iliyopita.
Salman Khan mwenye miwani akipelekwa...
Leo ni arobaini ya mtoto wa Zamaradi Mketema. Kaalika mastaa mbalimbali kwenye siku hii special ya kijana wake King Salah.
Mastaa nao wamejitahidi kupendeza kwa kuvaa kinaijeria.
Mama Salah na...
Juzi alfajiri ya Aprili 19, mwaka huu, Kiba alifunga ndoa na mrembo Amina Khaleef katika Msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa, Kenya. Ndoa hiyo ilifungishwa na Sheikh Mohamed Kagera...
Yaani mnacopy kuanzia melody, beat hadi style ya kucheza. What a shame? Halafu ndio mnataka mshindane na Wanaija wakati mnawacopy kilakitu? RAYVANNY hapa umepotea this is too much, dancers nanyie...
Hello guys,
Nimefanya observation kwa mastaa wengi wa kike hapa Tanzania kama vile Jokate, Lulu, Wema, Wolper, Kajala n.k.
Wengi wao ni warembo na kwenye mvuto haswa lakini pamoja na umaarufu...
Mzuka Wanajamvi.
Katika huu wimbo wake wa My heart to you ndiyo ilikuwa music video yake the humble Giant ya mwisho. Ilikuwa very simple and humble Na aliifanya kwenye ranch yake.
Check pozi la...
Jokate ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Amefurahi na kumpa hongera kuteuliwa was jokate mkuu wa wilaya ya Kisarawe akiongea na Millard Ayo tv
Wakuu leo ndio imethibitika kuwa Rich Mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya Mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records...
Kanye West '41' amesimamisha kazi zake zote kwa sasa ili kuwa karibu na baba yake ambaye anaugua saratani ya tumbo. . . Mzee Ray West ambaye anapata matibabu mjini Los Angeles anaendelea vizuri na...
Wanajamvi salaam!
Hivi karibuni msanii Diamond Platnumz alipelekewa taarifa ya TRA assessment ya kudaiwa kodi ya kiasi kisichopungua milioni 400,
Wadau mbalimbali walijitokeza kumtetea akiwemo...
Anajulikana Kama Jacky Pemba alikuwa akiishi Bongo Zaman Akina Fm Academia Akina Bella na Bendi yake wamezifaidi hela zake sana Huyu Jamaa kiufupi ni tajiri (Nasikia utajir wake umekuja kutokana...
Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.