Wasanii wa Tz Wanachezea sana pesa ila wakiumwa kidogo tu wanaomba tuwachangie wakatibiwe INDIA

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Moja kati ya viumbe vinavyoishi maisha ya maigizo ni wasanii wetu wa Mziki na Maigizo hapa tz, Ukiangalia maisha wanayoishi wengine kwa kuigiza na wengine kwa kutumia vya kwao kweli lakini sio watu wa kukumbuka kuweka akiba.

Wakipata wao ni matumizi tu hawakumbuki kuweka akiba ya baadae, uwakute sasa wanavyotunzana kwenye sherehe zao mtu anaweza akamwaga hata millioni ya kutunza tu bado zawadi, ila akija kuugua tu utashangaaa anaomba watanzania tumchangie hela ya matibabu

Mwangalie huyu anayejiita janja, mara nyingi anajipiga picha na madola instagram lakini kashindwa hata kumjengea mama yake kijumba cha kujistiri pale ngarenaro, na kwa jeuri kaenda kuowa mkurembembe kabisa kujionyesha yupo juu

Mwangalie sepenga anavyoishi kistar lakini hata banda hajawahi kujenga hadi leo anaishi kwenye nyumba ya urithi, pamoja na ustar wao wote na maisha ya kuigiza shida zikiwapata hawachelewi kupitisha harambee kwenye Mpesa na tigo pesa tuwachangie

Watanzania huu ni mda maalum sasa muache kuchoma pesa zenu kwa hawa watu, maisha wanayoishi ni ya anasa, siku yakiwakuta kila mtu apambane na hali yake kwani hata sisi huwa tunajitibia kimya kimya

Wasanii wa Tz ni majipu
 
Umesema kweli kabisa mkuu wasanii wetu hawa hawajielewi kabisa.
 
Wengi wana maisha ya chini sana ila wanaishi kwa kuigiza. Niliishaambiwa na mtu mmoja kua wengi ni wadangaji, wanapalipiwa kodi na madanga hizo mbwembwe zote wanazofanya wanafadhiliwa na madanga yao. kiuhalisia wana maisha magumu sana wengi hata nyumba za vyumba viwili hawana
 
Sijui huwaga wanawaza nini au akili zao zinakuwa wapi...
Ila kuna wanaojitambua kama jida, rof j, nature n.k
 
Back
Top Bottom