Kwanza sijajua hili kundi lipo au limekufa na kama limekufa ni sababu gani zimeliuwa kundi hili lililojizolea umaarufu mkubwa nchini tanzania
Kingine ni maisha ya wale comedian wengine wako wapi...
Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao
Jux...
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye...
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.
Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi...
Katika maisha kuna hatua nyingi sana sisi binadamu tunapitia na kila mmoja ana namna au mbinu yake katika kuyafikia mafanikio. Kwa mukhutadha huo nakwenda moja kwa moja kwenye mada hasa hii fani...
Kuna kijana maarufu sana enzi hizo aliwika miaka ya 90, kama sikosei alikuwa anajishughulisha na udhamini wa mpira wa miguu na pia alikuwa na timu yake, baadae alitimkia nchi za ulaya.
Naomba...
Wakuu, heshima kwenu! Katika pitapita yangu kwenye mitandao ya kijamii, nimekutana na huyu mrembo, jina lake anaitwa Precious Mary akiwa amefanya cover ya wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi...
Huyu jamaa nimemkumbuka na kile kibao chake cha VITUKO uswahili,
"Uswahilini ukioga mchana utaulizwa, unakwenda wapi"
"Uswahilini mtu ananawa miguu wakati miguuni hajavaa kandambili,akimaliza tu...
Msanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka
Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na...
Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa...
Habari
Nimekuwa nikifuatilia sana Churchill Show ya Kenya ambayo kiukweli huwa napunguza sana stress hasa akisimama Professor Hamo.
Sasa nipo Dar hapa najiuliza ni wapi kumbi za Comedy ambazo ni...
Wasalaam..
Pamoja na kupatikana mshindi ambaye kwangu naona amestahili lakini shindano hili bado lina mambo yale yale yanayo tia shaka au unaweza kuyaita maajabu...
Moja ya maajabu kwenye hili...
Kwanza nianze kwa Kuupongea Uongozi wa EATV kwa kuja na Kipindi kama hiki ambacho ni kizuri sana na pia nichukue nafasi hii kuwapongeza sana Watangazi wake kuanzia kwa Program Brand Manager wake...
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua...
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia...
Katika interview aliyofanyiwa na channel ya Sam Misago kwenye Youtube amekubali kuwa huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji.
Anasema ''mimi ni mfanyabiashara, kwenda kwa mganga lazima. Kuna wakati...
Mwanamuziki Nasir aka Nas amefunguka na kuelezea tabu na manyanyaso ambayo ameyapata kutoka kwa mtalaka wake Kelis ikiwa ni pamoja na kumtolea maneno ya kashfa na kumnyima fursa ya kuonana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.