Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,235
16,205
Kwanza sijajua hili kundi lipo au limekufa na kama limekufa ni sababu gani zimeliuwa kundi hili lililojizolea umaarufu mkubwa nchini tanzania

Kingine ni maisha ya wale comedian wengine wako wapi? Ukiacha Masanja ambae hivi sasa ni mchungaji na maisha yake ni ya hali ya juu.

260f332f07bf68ea051c0b79b09f8a51.jpg
 
Wapo wanaendelea na maisha yao kama kawaida.

Masanja kwa sasa yupo kwenye kilimo pia
 
Back
Top Bottom