I wish Freeman Mbowe a very happy birthday indeed

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,236
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye ametumia Utajiri wake wote kupigania ukombozi , kila mtu aliyejitutumua kupambana naye watawala wamempandisha cheo .

Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .

Instagram media - Bnsvc8uhwnR.jpg
 
nami pia naungana nawewe kwaniaba ya wana ukonga tunamtakia maisha marefu azidishe mapambano sie tupo nae bega kwa bega
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye ametumia Utajiri wake wote kupigania ukombozi , kila mtu aliyejitutumua kupambana naye watawala wamempandisha cheo .

Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .

View attachment 865951
 
HBD MH.Freeman ; Kiongozi no.1 anaelidwa na kufuatiliwa maisha na mawasiliano yake kwa nia OVU 24hrs,na wasiojukikana! Mungu azidi kukulinda upiganie utu,haki na usawa katika taifa letu.(Mbowe 1= Nyumbu wa Lumumba 3M)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom