Hivi Suma G uko wapi?

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,011
11,942
Huyu jamaa nimemkumbuka na kile kibao chake cha VITUKO uswahili,
"Uswahilini ukioga mchana utaulizwa, unakwenda wapi"
"Uswahilini mtu ananawa miguu wakati miguuni hajavaa kandambili,akimaliza tu anakanyaga chini"
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana sijui yuko wapi?ⁿ
 
Ukimpata nitafutie pia

Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Du hao big dog pose walikuw noma sana,sijui nao wako wapi? Kulikuwa na album yao moja inakwenda kwa jina la wosia ilikuwa balaa
 
Huyu jamaa nimemkumbuka na kile kibao chake cha VITUKO uswahili,
"Uswahilini ukioga mchana utaulizwa, unakwenda wapi"
"Uswahilini mtu ananawa miguu wakati miguuni hajavaa kandambili,akimaliza tu anakanyaga chini"
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana sijui yuko wapi?ⁿ
Kuna picha niliiona juzi ya Suma G Daaaa kama hali NYUNGA sijui.
 
Dah Leo mchana nilimuwaza nilikuwa najikumbushia nyimbo za zamani hiyo vituko uswahilini niliimba kidogo ,nikawa natafuta nyimbo yake nyingine ilikuwa maarufu kipindi kile lkn sikuweza kurewind

Nakutana na Uzi wake saizi Suma g na hili jina nilikuwa nalivuta lkn sikulikumbuka ,kweli wazungu wanaita coincidence
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom