Nas: The price I pay to see my son!

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
25,360
38,869
Mwanamuziki Nasir aka Nas amefunguka na kuelezea tabu na manyanyaso ambayo ameyapata kutoka kwa mtalaka wake Kelis ikiwa ni pamoja na kumtolea maneno ya kashfa na kumnyima fursa ya kuonana na mwanae wa kiume Knight.
Nasir katika ukurasa wake wa Instagram ameeleza kwamba amekaa na tabu zote hizi kwa zaidi ya miaka 10 huku aliyekua mkewe aki pretend kama mwanamke anayenyanyasika wakati siyo ukweli.

Binafsi kama fan wa Nas nimeumizwa sana na taarifa nilizozisikia juu ya matendo yanayofanywa na Kelis juu ya aliyekuwa mumewe.

Nadhani wanawake waamerika weusi wana tatizo fulani katika kumaintain ndoa au relationship.
 
Sheria za maswala ya malezi US zimempa nguvu sana mwanamke,mpaka sometimes wanatumia kama kigezo cha kuwachapia wanaume waliozaa nao.Sasa pata picha miaka 10 hujaonana na mtoto wako,hayo maumivu hayaelezeki,ndio mana sisi wanaume tunawahi kufa mapema sababu tuna mengi sana vifuani tumeyajaza ila tunaamua kukaa kimya.Wanaume wengi wananyanyasika sana,ila ndio hivyo unaamua kufa kiume na maumivu yako moyoni ,ila hili halivumiliki,kwani ukilivumilia utajenga uadui na mtoto wako huko siku za usoni,kwani hujui sumu gani mama anampa mtoto ili kukuchafua wewe.
 
Ukweli mtupu.
 
Kweli nyani haoni kundule
Yaani nyie wanaume mnajiliza hapa mnaanini vipi huyo Nas wenu msafi msiwe na double standard yaani ufanye upuuzi wako uchekewe plz wanawake tuendelee kukaza hivyohivyo maujinga ya wazazi mtoto asiyaone fullstop
 
Tafadhali naomba upitie Instagram wall ya Nas ujionee alichokisema hakika utaumia. Jamaa amevumilia kwa muda mrefu sana.
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, wao wenyewe hawapendani na hata sisi pia hawatupendi (nimekasirishwa sana na hili suala la Nas)
 
Teh mnatia huruma kweli mnavyomuonea huruma mwanaume mwenzenu.
Nas hatii huruma sababu labda anamtaka Kelis bali jamaa anataka haki ya kumuona mwanae na jamaa mpaka mahakamani kesi ameshinda lkn Kelis kaanza utata mpya, anadai walivyokuwa wakidate nas alikuwa anampiga. Sasa siku zote alikuwepo wapi mpaka baada ya jamaa kushinda kesi kaamua kuamisha magoli. Siku zote hata kama mahusiano yenu yalikuwa na migogoro, hamuondolei Nas (mtu) haki yake ya UBABA kwa huyo mtoto, iwe duniani au mbinguni yy atabaki kuwa baba wa huyo mtoto. Nas anachokipigania ni haki yake ya msingi kabisa, haijalishi waliishi vp na Kelis.
 
Nas hatii huruma sababu labda anamtaka Kelis bali jamaa anataka haki ya kumuona mwanae na jamaa mpaka mahakamani kesi ameshinda lkn Kelis kaanza utata mpya, anadai walivyokuwa wakidate nas alikuwa nampiga. Sasa siku zote alikuwepo wapi mpaka baada ya jamaa kushinda kesi kaamua kuamisha magoli. Siku zote hata kama mahusiano yenu yalikuwa na migogoro, hamuondolei Nas (mtu) haki yake ya UBABA kwa huyo mtoto, iwe duniani au mbinguni yy atabaki kuwa baba ya huyo mtoto.
Poleni.
 
Back
Top Bottom