Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Taarifa hiyo...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza na linanipa maswali kibao...... But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR' alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha...
25 Reactions
221 Replies
35K Views
Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
0 Reactions
32 Replies
6K Views
[Rick Ross] Tupac and Juice riding [?] on the loose King James round my neck, haters wish it was a noose Long Maybach and I wish it was a coupe Kush out the jar, car smellin' like duke...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Uwa nikisikiliza nyimbo za huyu jamaa uandishi wake uwa unaweza kuwa na tafsiri nyingi kadri msikilizaji anavyo weza kutafsiri. Leo nimesikiliza tena huu wimbo jamaa yani kaongelea mambo mengi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Soudy Brown, Maua Sama na Meneja wake(Fadhili Kondo) waachiwa kwa dhamana ya Polisi usiku huu Watakiwa kuripoti Kituo cha Kati (Central Police) cha jijini Dar walipokuwa wanashikiliwa kesho saa 4...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa...
3 Reactions
69 Replies
15K Views
Wakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba...
27 Reactions
162 Replies
29K Views
C.E.O wazamani wa death row records Gangstar wa Compton member of blood . Waste side the best .atupwa sero miaka 28
2 Reactions
70 Replies
13K Views
. Jamani hapa ndo alipofikia msanii ney wa mitego yaani nimeingia YouTube nimekutana na show take nikashangaa yaan ni msanii ambaye anajishusha thamani tofauti na ney yule wa Nnakula ujana,Mziki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki Maua Sama kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar...
7 Reactions
77 Replies
28K Views
Wasalaam wana jamvi Pamoja kuwa tumezawadiwa wasanii wengi sana wa muziki wa kizazi kipya nchini lakini ni wachache sana ambao kila mtu angependa kuwasikiliza au kuwasubiria watafanya nini wakiwa...
6 Reactions
74 Replies
11K Views
Moja kati ya stori zilizosambaa katika mitandao ya kijamii leo kuhusiana na muigizaji Irene Uwoya ni stori ya kudaiwa kuwa alikamatwa na Polisi jijini Mbeya na kulazwa katika kituo cha Polisi...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Sijui inakuaje wasanii wetu wakisha jiingiza tu kwenye ndoa muziki inawatupa mkono kabisa,cheki list hapa chini,hao niliowawekea nyota ndo wanaishia ishia hivyo kwa mbaali japokuwa wanajitahidi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameamua kuweka wazi mwanaume ambaye anataka kuishi naye kwa sasa, ambapo amedai kuwa anataka mwanaume wa kizungu ambaye alishawahi kuachika na mwenye watoto...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamaa pamoja na crew yake enzi za gazeti la sani walikuwa wanachora real life na kwa viwango...yaani unafuatilia vile vibonzo na unafurahika kabisa, huku Madenge akiwa ndo stelingi kwenye hii...
15 Reactions
35 Replies
10K Views
Goo morning wana Jf! Watanzania huwa tunatabia ya kuwaongezea ugonjwa wagonjwa..Yaani mtu anaweza akawa anaugua kabisa na dalili zote tunaziona lakini ndio kwanza tunaendelea kumgeuza kiburudisho...
5 Reactions
74 Replies
13K Views
Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume...
6 Reactions
198 Replies
24K Views
Huyu kijana idris Sultan amekuwa akisifika kukejeli mastaa kibao hapa bongo, Sasa najiuliza hivi siku huyu idris akiingia 18 za Mujuni almaarufu mpoki kweli atatoka salama Huyu Dogo? Ikumbukwe...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Gwiji wa muziki wa reggae nchini Jah Kimbuteh amefariki dunia nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam, mshirika wa karibu wa marehemu David Msitta Manju, amethibitisha. Akiongea nasi kwa njia...
13 Reactions
61 Replies
13K Views
Back
Top Bottom