Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,886
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......

But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha press na kuwaomba msamaha...
wengi kwa kweli hatukuamini na hatukuelewa hasa anaomba msamaha kwa kosa
gani? na hata alipoulizwa why unaomba msamaha alishindwa kujibu..

Kwa sasa mashabiki wa Diamond wanasema clouds si lolote si chochote
WCB ni kubwa kuliko CLOUDS......sasa najiuliza tu je huu mpambano nani atashindwa?
je 'wataalam ' wa fitna safari hii wamekutana uso kwa uso?
na siku ikitokea Diamond au meneja wake yeyote anawaomba msamaha clouds...
itakuaje?...

Binafsi nna maswali kibao....
1.ugomvi huu hasa chanzo ni nini?
2.Mkubwa Fella yuko upande upi?
3.tv ya WCB ni yao wao au wana sponsor? sponsor wao ni nani?
4.Ruge na Salaam wana bifuu lingine la personal?
5.mikataba ya Diamond kwenye karanga na perfume itakuwa canceled ?
6.victims wa beef hili watachagua upande?...

WCB wakiweza hili beef kuibuka washindi naona ndo itakua mwanzo wa mwisho wa clouds
kuwa na nguvu hii kwenye industry but je wataweza?

au na wao wataishia kama TID na Ruby kuja kuomba msamaha?
 
Kila anayegombna na clouds huwa anapat sapport ya mashabiki siku za mwanzoni tu mfn mzur siku ruby alipoamua kutoa ya mayoni kuhusu clouds alipat maelfu ya comments yakimpa moyo huku yakiibeza clouds lkn mwisho wa siku karudi kuomba msamaha!!
Clouds kuiangusha mpaka pale wasanii wote watapoamua kusimama kidete lkn hii ya kusubir kila mtu apambane kivyake itawacost sana watu walioweza kidgo kuiyumbisha clouds ni ant virus tu hawa wengine bado sana coz ant virus ilipata sapport karibia vituo ving sana vya radio!!
 
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza
na linanipa maswali kibao......

But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR'
alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha press na kuwaomba msamaha...
wengi kwa kweli hatukuamini na hatukuelewa hasa anaomba msamaha kwa kosa
gani? na hata alipoulizwa why unaomba msamaha alishindwa kujibu..

Kwa sasa mashabiki wa Diamond wanasema clouds si lolote si chochote
WCB ni kubwa kuliko CLOUDS......sasa najiuliza tu je huu mpambano nani atashindwa?
je 'wataalam ' wa fitna safari hii wamekutana uso kwa uso?
na siku ikitokea Diamond au meneja wake yeyote anawaomba msamaha clouds...
itakuaje?...

Binafsi nna maswali kibao....
1.ugomvi huu hasa chanzo ni nini?
2.Mkubwa Fella yuko upande upi?
3.tv ya WCB ni yao wao au wana sponsor? sponsor wao ni nani?
4.Ruge na Salaam wana bifuu lingine la personal?
5.mikataba ya Diamond kwenye karanga na perfume itakuwa canceled ?
6.victims wa beef hili watachagua upande?...

WCB wakiweza hili beef kuibuka washindi naona ndo itakua mwanzo wa mwisho wa clouds
kuwa na nguvu hii kwenye industry but je wataweza?

au na wao wataishia kama TID na Ruby kuja kuomba msamaha?
Wanachopaswa kutambuwa watu ni kwamba Makonda siyo RC wa milele Dar, ametukuta Dar na atatuacha na.Dar yetu.

Ukitaka kushindana na Madon kama kina Kusaga sisi tuliozaliwa na kukulia jiji hili tunakutazama tu, tunajuwa ngoma ya kitoto haikeshi.

Naseed sidhani kama ana matatizo na mtu bali genge lake ndio linamuingiza matatizoni na wote ukiwatazama kwa makini wanaishi mjini kwa kutumia kipaji cha Naseeb.

Anyway muda utaamuwa lakini WCB hawana ubavu wa kudindishiana msuli na Clouds Media.

Joseph Kusaga alianza mwenyewe kubeba maspika ya kupigia disco kupeleka ukumbini, kuna washamba wa kuja wanamchukulia poa.

Clouds siyo Ruge, Clouds ni Joseph Kusaga, wacha wajinga wajaribu kujamba wakati wana matumbo ya kuhara, tuombe uhai tu.
 
Ila kuendesha Radio/Tv si kazi rahisi. Mpaka upate mashabiki royal inahitaji muda sana.

Na radio si Muziki tu, siku hizi Watu wanapata Muziki wanapata Youtube na social networks nyingine. Radio/Tv zinahitaji contents tofautitofauti na kusoma mahitaji ya soko.

Cc: chige
 
We jamaa una mawazo km yangu, binafsi nahisi Wasafi TV Radio sio ya Dai, bali inawezakuwa ya DAB.

Pili bifu la Sallam ilikuwa njia ya Sallam kumuokoa Iyobo na kwa kuwa Ruge ndo aliamuru jamaa apelekwe police ndo jumba bovu likamuangukia hasa ukizingatia Ruge hana ule ushikaji wa nje na kazi... na km vile Sallam anaiogopa clouds

Sema iyobo hakuwa serious na yeye,ilitakiwa awagonge kweli kweli sio ana watishia,wapuuzi sana wale jamaaa...

Soud na mwenzake ni wanafiki wakubwa sana.siku ile walionekana mwingine kavunjika shingo et juzi anaonekana anafanya mazoezi ya ubondia..wanatakiwa kujua kuna maisha baada ya clouds.

Wanafuatilia maisha ya wenzao wakati wenyewe wamechoka tu na maisha yao na wana maisha magumu.

Wapuuzi kweli kweli.
 
We jamaa una mawazo km yangu, binafsi nahisi Wasafi TV Radio sio ya Dai, bali inawezakuwa ya DAB.

Pili bifu la Sallam ilikuwa njia ya Sallam kumuokoa Iyobo na kwa kuwa Ruge ndo aliamuru jamaa apelekwe police ndo jumba bovu likamuangukia hasa ukizingatia Ruge hana ule ushikaji wa nje na kazi... na km vile Sallam anaiogopa clouds
hata mimi nimeanza kuhisi Wasafi Tv na redio huenda siyo za diamond maana nimeanza kuona kuna wengi wanaficha mambo yao nyuma ya kijana.
ila clouds wao wanajinasibu kuwa ahwana bifu na diamond, na leo nimemuona soudy anamsifia diamond halafu akamalzia kwa kusema mwenye matatizo ni kubwa jinga akimaanisha sallam
 
Wanachopaswa kutambuwa watu ni kwamba Makonda siyo RC wa milele Dar, ametukuta Dar na atatuacha na.Dar yetu.

Ukitaka kushindana na Madon kama kina Kusaga sisi tuliozaliwa na kukulia jiji hili tunakutazama tu, tunajuwa ngoma ya kitoto haikeshi.

Naseed sidhani kama ana matatizo na mtu bali genge lake ndio linamuingiza matatizoni na wote ukiwatazama kwa makini wanaishi mjini kwa kutumia kipaji cha Naseeb.

Anyway muda utaamuwa lakini WCB hawana ubavu wa kudindishiana msuli na Clouds Media.

Joseph Kusaga alianza mwenyewe kubeba maspika ya kupigia disco kupeleka ukumbini, kuna washamba wa kuja wanamchukulia poa.

Clouds siyo Ruge, Clouds ni Joseph Kusaga, wacha wajinga wajaribu kujamba wakati wana matumbo ya kuhara, tuombe uhai tu.

Halafu ingekuwa rahisi wao kupigana na clouds kama
wangekuwa hawashirikiani kwa lolote
sasa wao kumbe karanga na perfume ni biashara za clouds..
halafu wanakuja kutunisha misuli hapo sijawaelewa kabisa...
 
Nafikiri ID yako umewagawia walevi...!
 
Ila kuendesha Radio/Tv si kazi rahisi. Mpaka upate mashabiki royal inahitaji muda sana.

Na radio si Muziki tu, siku hizi Watu wanapata Muziki wanapata Youtube na social networks nyingine. Radio/Tv zinahitaji contents tofautitofauti na kusoma mahitaji ya soko.

Cc: chige

Kuna Tv na radio nyingi mno hazipati faida TZ..na zina pesa
mfano TV ya David Mosha....haina hata watazamaji licha ya mtaji mkubwa
ASTV..
 
Back
Top Bottom