Hivi kuna mwandishi kama Ngosha Tanzania hii?

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,163
2,223
Uwa nikisikiliza nyimbo za huyu jamaa uandishi wake uwa unaweza kuwa na tafsiri nyingi kadri msikilizaji anavyo weza kutafsiri.
Leo nimesikiliza tena huu wimbo jamaa yani kaongelea mambo mengi katika verse tatu. Yani kaongea facts za uhalisi wa urafiki baina ya wote almost kamaliza kila kitu.
wapo waandishi kama akina One, Songa, Niki mbishi, na wengine lakini ninadhani huyu jamaa anaeleweka zaidi katika uwasilishaji wake.
Nyimbo zake zinaishi na uandishi wake ni wa kipekee sana.

SIHITAJI MARAFIKI

Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani/ udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani X2/

haijalishi ulikua na wangapi bali wangapi uko nao..washkaji ambao... kosa lako lao wakati hauna mafao/wanaokufikiria wewe muda ambao/ wenzao walionao wanafikiria wengine ndo wanao/now

kupata washkaji ukiwa na pesa... ni rahisi/

kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi mie sikufichi sihitaji urafiki na usupastaa/ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../ kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground/sikuhizi mabinti wanaomiss ni walionidiss mie sio mdau/

wanakubali mie ni mkali wanataka kuijua Mmwanza

ninayoitangaza nikiwa safari kama habari za kwanza/

U-N-I-T na prof Ludi walionifunza kukaza...

kwetu mbali.. sijui lini nitarudi? (C) Lokua kanza/

sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

Verse 2;

na usupastaa huwa ni feki.. utakung'arisha ukiwa na Market/

utakupatia senti,utapita juu ya red carpet/

utageuka young & restless, utakupa wanawake/utakupa mafake brethrenz.. kisha utaenda zake/kwahiyo power is not permanent.. huwa ipo kwa muda tu/respect ur own conglomorete... fikiri kikubwa tu/masaa hayarudi nyuma kama muda wa kufuturu walioukataa utumwa wanastuka hawana uhuru/

wanazusha najiskia.. so im my own best friend/

sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/

naweza nikakata ringi kiasi cha kutopay attention, lakini sio tajiri wakuafford kuua true friendship/

tuweke siasa kando sababu kichwa kinanigonga/na hizi falsafa double double ajabu sio kinywa cha mjomba/

sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

VERSE 3

rafiki wa kweli yukoje.. ni mkimya au anayechonga/yule aliyekupa jina?au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?/au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?/ hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka yupo nawe.. au yupo kinyume na wewe/bora adui.. kama hachachawi utaenda muomba akuelewe/

ka buibui.. naweka tandu mtaenda kando mzingue?/

kwani machizi wenyewe wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo/ inabidi tu uwaache wakuwatch kwenye kideo/unakula nao happy leo.. kesho wanamtaka mkeo/urafiki sitaki.. hauletagi maendeleo../

nilitamani kuwa mjamaa niwe genge kama nature/

wachache niliowafanya wakang'aa wanayaweka maisha yangu in danger/

sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
 
Yule ndio msukuma mjanja kuliko wote Duniani na ahera. Ngosha the Don.
Ahahahaaaa nakuona ukimtus kiranga, ngabu na paschal mayala

Kwangu Mimi wasukuma kwenye akili ni watatu tu dunian Dk shika the kid, Rugumi na gwajima hawa watu ni noma sana rabda na yule msukuma muuza madawa ya kulevya anaitwa shikuba Rip kanumba na askofu kurola
 
kucopy kwenye vitabu
Unaweza kuweka ushahidi, maana kila kitu mnasema kacopy, hivi unajua kuwa ni utaalam usome kitabu cha kingereza, uki summerize katika verse tatu tena kwa kisewahili uwasilishe ujumbe ueleweke?
Hata hivyo watu wenye akili ni wale waliosoma vitabu vingi kama zitto vile na ndiyo maana wasomi uwa wanaongea kwa ku refer vitabu ina maana mawazo ya watu yaliyowekwa kwenye vitabu.
 
Unaweza kuwekalushahidi, maana kila kitu

mnasema kacopy, hivi unajua kuwa ni utaalam usome kitabu cha kingereza, uki summerize katika verse tatu tena kwa kisewahili uwasilishe ujumbe ueleweke?
Hata hivyo watu wenye akili ni wale waliosoma vitabu vingi kama zitto vile

Anakwambia..."ndio ya siyo ndiyo ni ndio kiutani lakini sio ya ndio ndiyo yaweza kuwa ni ndio kiundani...😀😀dah

Naomba nijue elimu ya fidq maana huyu jamaa ni tapeli wa maneno
 
Utakua haujawahi kumsikiliza Unju au Uno Incredible
Mbona nimemtaja hapo juu kabisa kwenye thread nishwahi kumsikiliza na ninaendelea kumsikiliza, napenda uandishi wake na amtumizi ya misamiati ya Kiswahili fasaha ya maneno ambayo hata sikuwahi kusikia mfano alisema eti binti mwenye kiranga kanasa dume la mtaa, mimi nilidhani binti mwenye bahati kumbe maana ya kiranga ni mtu ambaye hawezi jizuia na ashki ya kufanya mapenzi nimejua hilo juzi baada ya kumsikia yule jamaa anadadavua maneno ya kiswahili clouds.
 
kiranga ni kiherehere flan hivi..yaani hutulii,hukawii kumtia mchanga mkweo jichoni..sio ashki ya mapenzi
 
Unaweza kuweka ushahidi, maana kila kitu mnasema kacopy, hivi unajua kuwa ni utaalam usome kitabu cha kingereza, uki summerize katika verse tatu tena kwa kisewahili uwasilishe ujumbe ueleweke?
Hata hivyo watu wenye akili ni wale waliosoma vitabu vingi kama zitto vile na ndiyo maana wasomi uwa wanaongea kwa ku refer vitabu ina maana mawazo ya watu yaliyowekwa kwenye vitabu.

Hakuna point ya msingi uliyoongea before kumjua fid vizuri nilikuwa naweza kupigana na mtu akimsema vibaya

Ila fid ana-copy vitabu sana mixer movies na ukikaa ukatafakari sana na kusikiliza ngoma point za kuokota.
 
Weka ushahidi au kisa alitaja apocalypto?
Weka ushahidi kuwa mstari huu ameutoa kwenye kitabu hiki, mstari huu kautoa hapa ukifanya hivyo sitoweza kubisha? Hata hivyo mwandishi mzuri na mtu anayejua mambo mengi lazima asome vitabu na aweze kufanyia kazi kile alicho kisoma.
 
Maisha ni kama kioo ……… hii laini ipo kama ilivyo kwenye kitabu cha maxwell
 
Maisha ni kama kioo ……… hii laini ipo kama ilivyo kwenye kitabu cha maxwell
Maisha ni kama kioo ……… hii laini ipo kama ilivyo kwenye kitabu cha maxwell
Madai yako ni sawa useme FA anacopy mistari kisa alitumia msamiati huu "Don't hate the player hate the game " kwenye wimbo wa binamu.
Watu makini uwa wanatumia reference na phrases toka kwenye vitabu. Kusoma kitabu cha kingereza ukabadiri ulichokisoma na ukakitumia vizuri kuandika mistari siyo kazi ndogo.
Hukawii kusema hata Lil wayne wimbo wa mirror idea katioa kwenye hicho kitabu kacopy
 
Back
Top Bottom