Suge Knight : 28 years in prison

kachonjo

Senior Member
May 25, 2018
161
197
C.E.O wazamani wa death row records
Gangstar wa Compton member of blood .

Waste side the best .atupwa sero miaka 28
307a05621c11a3b8e87c98bd784454d7.jpeg
 
Jamaa yangu suge. Kaka mkubwa, tembo, king kong, jail masterpiece.

Anakwambia a lot of people are born male, but am a man. Never play with my money....

Bifu lako na sughe lazma liwe linahusu hela.

Jamaa kagonga watu wawili makusudi na mndinga wake huko states, plea was no contest, ndo hivyo kesi ilisomwa sept 24. Ndo kakabidhiwa iyo miaka 28. Jail Legend. Jail masterpiece it self. Call him Suge
 
Dadaadeeeki
 
alivyowagonga wale jamaa ndipo nilipotambua huyu msela inafaa apumzishwe jela
he gotta watch his butthole,them CRIPS crooks wait for his ass in the joint
Msela ana systems alizo establish hadi jela. Suge ni maarufu kwa utukutu toka kipindi ni baunsa wa bobby wine. Inshort suge mtu wa vurugu. Na vurugu ndo maisha yake...... hapati tabu sana sana anazidi kuongeza CV ya ugang.... jela wanamjua.

"Violence is the way to survive in Ghetto" - Hugh Marion Knight (suge)
 
nadhani ulimanisha bobby brown
crips gang kubwa na ina wafuasi wametapakaa jela zote marekani
nachhona hapo ni kwamba jela atakayofungwa kutakuwa na mauaji ma vurugu za kila siku kati ya crips na bloods
usisahau pia watu wanakuwa loyal kama una cash,suge is dead broke
thanks to vanilla ice's money that suge robbed that established death row
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom