Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwema humu.. kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..? na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop mimi naanza na 1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Fiesta imeanzia moro jana, nimebahatika kupata picha chache kutokana na picha safari hii kuwa hadimu. Lakini naambiwa Fid Q ndio alikuwa nyota wa mchezo.
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Niliposikiliza voice note ya hamisa mobeto akiongea na mganga au shekhe kama anavyodai, nimegundua tabia halisi ya hamisa mobetto 1. Hana roho mbaya - Akiongea kwa sauti ya upole na ya...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Hongera kwao navykenzo kwa wimbo wa KATIKA umefikia watazamaji Milioni moja ndani ya siku mbili na bado unashika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa Tanzania. Na bila kusahau clouds media wamempost...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Leo nimepitia baadhi ya post insta, ingawa mm sio mpenz sana wa mtandao huo. Katika pita zangu nimejikuta naangalia post mbalimbali za diamond. Moja wapo ni show ya namibia. Ukiangalia kwa makin...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajiita wanamuziki lakini mimi nasema ni wahuni na wababaishaji ambao wameivamia fani kwa mtindo wa zima moto. Baadhi ya wanamuziki wanaojiita ni wa kizazi kipya ni janga kwa taifa kwa kuwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
There is a saying that , show me your friend , and I will tell you who you are , Msemo huu umekua ndivyo sivyo kwa hawa marafiki wa muda mrefu, namzugumzia mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Mungu ambariki mtoto wa Tandale, matibabu mema Hawa niko namshughurikia now kwenda india kutibiwa... ila sikutaka kutangaza coz staki watu wachukulie msaada wangu ni kiki...but kwakuwa maswali...
7 Reactions
32 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. Mkuu huyo alikuwa mmmoja kati ya...
2 Reactions
134 Replies
13K Views
nicwe mnafki hili pini lenye ladha ya "Gospel ya kutia moyo", Dogo janja kachanja mle mle kiukweli, Kaimba kwa hisia za kweli kabisa zinazotokana na wakati mgumu anaoupitia kwenye maisha yake...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
yule mkongwe wa mziki wa kizazi kipya ambae pia ni mbunge wa mikumi.. ameachia bonge la video.. kwenye wimbo wake wa vunja mifupa .ee bwana eeeh huyu mshikaji hajawai kukosea.. pamoja na majukumu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Tusipoteze muda wote tunajua kuwa hakuna taasisi rasmi ya serikali iliyosajili rasmi jina la TZ Sweetheart kutumika kwa mtu Fulani Je tunaliongeleaje hili kwa pande na pembe zote kwa...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Ushindani lazima ili mambo yawe sawa katika tasnia hii ya mziki.But hongera yao wote.Aslay na Mboso japokuwa wametoka group moja,Now mmoja WCB mwingine Clouds. But maisha yanaenda.
1 Reactions
27 Replies
16K Views
Fiesta ndio tayari imeshatangazwa, na mwaka huu haitakuwa tena na msanii wa nje. Ukiangalia trend ya mwaka mzima. Unatabiri msanii gani atakuwa kivutio kwenye fiesta ya mwaka huu? Mimi...
0 Reactions
108 Replies
15K Views
Ndugu wanajamii forums kwa upepo ninavyouona hawa wamiliki wa clouds watamuomba msamaha diamond maana wananchi wanawaona wanafiki hata kama wanafanya kitu cha maana hii ni kutokana na mabifu yao...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna watu wamekuwa wakibeza tamasha la fiesta ambalo linaenda kuzinduliwa hapo kesho pale mjini Morogoro kwa kuangalia kigezo cha wasanii waliopo kwenye list... Kwa kifupi hawa jamaa promo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake... Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano...
21 Reactions
94 Replies
14K Views
Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka...
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000 Belle9 Fid Q Nandy Jolie Malkia Karen Whozu Mr blue Jaymolody Janjaro Z anto...
6 Reactions
92 Replies
14K Views
Back
Top Bottom