Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia manake hazinaga ujumbe unaoeleweka...nikifananisha na akina Nandy , Linah, Maua Sama,Lady JD na mademu wengine....nimejaribu kuzipenda nyimbo zake lakini huwa haziningii akilini kabisa....sijui ni uzee au ushamba?Kama kuna anaye muelewa naomba mnisaidie kiushauri ili nipende nyimbo zake...
 

mandela1

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
816
1,000
Yupo vzr n female artists ambaye anauvusha musics wa bonge kwa east Africa kuwa 2a mambele kwa mara ya kwanza alishirikishwa na ommy dimpoz m n u i like alivyoo ipaisha ile ngomaa hakika anafanya vizuri na anaeleweka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom