Nimemkumbuka Babu Ayubu...

Yupo mbezi temboni ndio anaishi muziki nahisi umemshinda sasa hivi ni mc kwenye shughuli za harusi na send off
 
Mbona nilimwona na bodaboda pale kijiweni kimara korogwe au ilikuwa ya shughuli zake
 
Anajishugulisha na nini kwa sasa uyu ndugu yetu, je ana familia

Siku amepita maeneo yetu sikumfahamu kama ni yeye
Jamaa wakaniambia ni babu Ayubu, yupo kama vijana wa mtaani tu Hana haiba ya usanii tena.
Watu wanadai anaimba taarabu na wengine wanasema ni mc ,sijawahi kumfuatilia sana

Ila ni mlevi aliyetukuka
 
mstari wa mwisho ndio umebeba kila kitu,nadhani mtoa mada ushaelewa sasa chanzo cha kupotea kwenye ramani ndugu yetu Ayubu
 
Siku amepita maeneo yetu sikumfahamu kama ni yeye
Jamaa wakaniambia ni babu Ayubu, yupo kama vijana wa mtaani tu Hana haiba ya usanii tena.
Watu wanadai anaimba taarabu na wengine wanasema ni mc ,sijawahi kumfuatilia sana

Ila ni mlevi aliyetukuka
Wahaya inabidi tumchangie ndugu yetu arudi nyumbani Bukoba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom