Hii ndio list ya wasanii 10 matajiri zaidi Tanzania

Watu wasiojulikana hao,ukigusa link ulipo wapo km ww mkosoaji
Kabisa ukiclick link wanapata IP adress yako....ingawa unaweza ukaifeki kwa Hide My IP adress apps ,Watawapata wenye STatic IP mda wote so pia ni ngumu kukutrace kwa dynamic IP.
 
Kabisa ukiclick link wanapata IP adress yako....ingawa unaweza ukaifeki kwa Hide My IP adress apps ,Watawapata wenye STatic IP mda wote so pia ni ngumu kukutrace kwa dynamic IP.
Acheni kuwaogopesha watu bhana. Watu wataacha hata kuwa wanapata habari za maana kisa kuogopa. Hiyo ni habari kama nyingine sema nimeshindwa kui copy yote kulingana na mfumo wa habari yenyewe ulivyo.
 
Hizo ni baadhi ya screeshots kutoka kwenye habari yenyewe
Screenshot_20181217-133331.jpeg
Screenshot_20181217-133629.jpeg
 
ukisikia uwenda wazimu ndio huu... eti diamond ana utajili sawa na reginald mengi 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom