Mtangazaji wa Clouds Harris Kapiga ameacha kazi?

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....

Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze
 
Hivi kuna watu bado wanafuatilia maisha ya watu binafsi kiasi hicho....
Kama unamtaza anapo tangaza na project zake anazifanya hadharani lazma afatiliwe tu by the way ingekuwa naongelea mambo ya ndoa yake au ya nyumbani kwake hapo sawa,ila ishu za kuacha kazi yeye ni public figure wala sio jambo la kusema nafatilia maisha yake...konokono wewe!
 
Its okay, kwani hujui kwenye HR kuwa kuna vertical na horizantal growth za career au nini cha ajabu hapo? Ametii kiu yake.
 
Its okay, kwani hujui kwenye HR kuwa kuna vertical na horizantal growth za career au nini cha ajabu hapo? Ametii kiu yake.
Yeye ni public figure,kupitia kazi yake ametengeneza mashabiki wake nikiwamo mimi so asipoonekana hata siku mbili tu lazma uulize kulikoni maana ladha ya kipindi chake imepotea kutokana na kukosekana kwake...usichoelewa nini....Salim Kikeke anapojua kuwa hataokuwepo kwenye kipindi chake anatoa taarifa kwa fans wake huyu hajafanya hivyo ndo mana watu wanauliza hadi kwenye comment za IG watu wanamuuliza but hajibu...
 
Back
Top Bottom