Watu bora kwa mwaka 2018 na watu wenye mafanikio kwa mwaka 2018.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
Habari JF members.
Kichwa cha habari kama kinavyosema
Watu bora kwa MWAKA 2018 na wenye mafanikio makubwa kwa MWAKA 2018.
Mr.Lovebite kipenzi cha walimbende I am lavalava amesema kwake "namba moja MWAKA huu ni Mama yake mzazi ni bora zaidi,Familia yake,Uongozi wake wa WCB Wasafi lakini pia na mashabiki zake ambao wanaomfanya zaidi kupiga kazi kwa bidii""
Na bila kumsahau Chid Benzi kwake ametoa list yake KONK ya watu waliofanikiwa kwa MWAKA 2018 kamtaja MB dog.
Msanii Chid Benz amesema msanii anayemuona amepata mafanikio makubwa kwa MWAKA huu 2018 ni MB DOGG.
 
Hivi kuna mtu bora duniani zaidi ya mwenzake?
 
Back
Top Bottom