Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande.
Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili.
Nachoshangaa sababu...
Mwimbaji wa muziki wa injili, Goodluck Gozbert amedai kuwa kuna watu walitumwa kuondoa uhai wake baada ya tukio la kuchoma gari alilopewa zawadi na kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii...
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie...
Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi...
Maskini hasaidiki kwa kweli, yani huyu Nuhu mziwanda alivyokuwa ana jiliza dms za wasanii wenzake mfano Diamond, Alikiba, Marioo, Rayvan,Harmonize nk na wote kumfungia vioo ,Chino akajitokeza...
Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria
hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu.
Kwangu huwa nawaona kama moja ya...
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
Huyu msanii anaitwa Nuh Mziwanda namfahamu mama yake ni MTU wa dini.
Kama familia mnaweza mpeleka kwenye kituo cha matibabu ya akili na vilevi (Sober rehabilitation)
Tofauti na hapo either...
Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za kifo chake zimetolewa...
.
Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa...
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye...
TANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.
Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel...
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend...
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.
Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana...
Mtanange huu unawakutanisha warembo hawa ambao wametikisa mziki wa U.S.A na duniani kwa ujumla.
Hapa tunatazama ni msanii gani anapaswa kupewa taji la malkia wa mziki kwa ukali wa ngoma...
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume...
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.
Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake...