Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,548
13,537
Mtanange huu unawakutanisha warembo hawa ambao wametikisa mziki wa U.S.A na duniani kwa ujumla.

Hapa tunatazama ni msanii gani anapaswa kupewa taji la malkia wa mziki kwa ukali wa ngoma alizonazo.

Kwangu binafsi naenda na badgirlriri sioni Beyonce akimsogelea Rihanna kwenye taji lake la umalkia wa mziki kwa mikwaju ya moto aliyo nayo Riri hitsongs za kushiba ila nahumeshimu Beyonce.

Ngoma hizi Riri aliumiza mbaya mbovu:-
i, Wild thoughts ya dj Khalled
ii, Work
iii, What's my name
iv, Rehab
v, What now
vi, Put it up ya Chris Breezy
Vii, Fly ya Minaj
Viii, Monster ya mtu mzima slim shady
Ix, Live your life ya mwamba T.I
X, Man down
Xi, Diamonds
Xii, Talk that talk
Xiii, Umbrella
Xiv, They way you lie
Xv, Needed me
Xvi, Run this town ya mtu mzima jigga
Xvii, Lemon ya N.E.R.D
Xviii, Rude boy
Xix, Te amo
Xx, Royalty ya mtu mzima Kendrick
Na nyengine nyingi

Wewe kwako nani anapaswa kuwa malkia kati ya hawa warembo wawili wa mziki wa mambele ?
 
Hapa tunaangalia ukali wa ngoma pekee sio uzuri wa sura wala umbo

Rihanna - Man down
Beyonce - Drunk in love
 
Beyonce X Wizkid- Brown skin girl
 
Beyonce ni mama watoto wa Jigga na Riri boss wake ni jigga😎
 
Riri ni my fav of all the time, ila kwenye taji la Malkia ni Queen Bee hiyo haina ubishi na hata Riri anajua,

Kama vile Celine Dion na Whitney Houston, Celine ni my fav ila taji la Malkia ni la Whitney.
Kwa nini taji umempa Beyonce ?
 
Tatizo umeanzisha mpambano wa wasanii huku ukiwa na majibu yako mfukoni....
Ndo maana umeshusha List ya Ngoma za Rihanna wakati za Beyonce ujazitaja japo umeuplaod hiyo Ngoma aliimba na WizKid...
Anyway Kura yangu inaenda Kwa Beyonce maana kila nimisikilizaga haya mangoma yake hua nakumbuka mbali Sana...
1. Ego pia Kuna Ego remix akiwa na Kanye West
2. Halo
3. Beautiful Liar
4. Single Ladies
5. Crazy in love
6. Run the world
7. My power
8. Break my soul
9. Diva
10. If I were a boy
11. XO
12. Survivor

Kwa hizo Pini itoshe kusema Tu Beyonce ni hatari sana
 
Mimi nimesema kwangu mkali Riri nimeshusha na ngoma kuthibitisha hilo ila sijazuia wewe kusema nani mkali lakini lazima utoe sababu za ngoma kuthibitisha hivyo good thing umeshusha mangoma kuthibitisha hilo
 
Komredi Beyonce ni moto wa kuotea mbali. Nitaongea na viongozi wa chama pendwa CCM wampe contract ya kurekodi wimbo mmoja wa kampeni 2025. Na ikiwezekana apige show mbili kwenye kampeni huko Katoro au Chato. Hatujawahi kuwa na wimbo wa kampeni kwa lugha ya kibeberu. Nadhani ni wakati wetu sasa
 
Ukiachana na hao wawili hili kuwaterm malkia wa music inabidi tuwaweke kwenye Genre zao bhn na sio kuwafanyia Generalization na kuja na majibu kwamba fulani ni malkia wa muziki,

Cha kwanza kati ya hao wawili hao wote ni wasanii wazuri na bahati nzuri wote wanaimba Soul/Pop lakini hiyo miziki ina malkia zake na sio hao:

1.Queen of soul ni marehemu Aretha Franklin hii dunia nzima wanajua hivyo na hili taji analo na kila mtu kakubali yeyr kupewa hilo taji.

2.Queen of Pop ni Madonna na kila mtu kakubali yeye anastahili kuwa hapo

3.Queen of Rock and Roll ni marehemu Tina Turner na kila mtu kakubali yeye kuwa hapo

4.Kwenye Rnb sasa ndio watu huwa wanashindwa nani apewe Taji ingawa Mary J blige, Beyonce, Mariah Carey ndio ambao wanatajawa kuwa ndio vinara wa kike wa huu muziki uliokufa kifo cha mende, huku kwa upande wa wanaume R Kelly, Jaheim, Tyrese, Ne yo, Usher wakitajwa kuwa ni vinara katika muziki huu
 
Komredi Beyonce ni moto wa kuotea mbali. Nitaongea na viongozi wa chama pendwa CCM wampe contract ya kurekodi wimbo mmoja wa kampeni 2025. Na ikiwezekana apige show mbili kwenye kampeni huko Katoro au Chato. Hatujawahi kuwa na wimbo wa kampeni kwa lugha ya kibeberu. Nadhani ni wakati wetu sasa
Vijana wa Lumumba mnavuta bangi sio bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom