Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Staa kutoka kiwanda cha Nollywood , Regina Daniels , Ameshangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha kuolewa na Mzee wa miaka 59 , huku yeye akiwa na miaka 18 tu ambayo alitimiza Mwaka jana october...
6 Reactions
107 Replies
18K Views
Hizi timu zitakuwa Kali Sana. Ni pale Harmonize atakapoamua kuitupa WCB na kuamua kujitegemea kimuziki, itakuwa patashika nguo kuchanika ukisingatia kuwa wore ni wakali wa Bongofleva na Mara...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Sitaki kuamini hii Ndo Mara ya kwanza young Dee anaingia USA, maana sio kwa kutupostia mpaka VISA , kweli ushamba mzigo , Sasa sijui Na huko kaenda kufanya show Au ndo baecation. Siku hizi naona...
12 Reactions
90 Replies
16K Views
Mm siyo shabiki wa huyu jamaa lakini mwenye hii ngoma salute sana kaua vibaya sana, huchoki kusikiliza. Akiendelea kutoa ngoma kama hii mfulululizo atakamata sana soko la mziki hapa bongo. Salute...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Steve Nyerere ameomba watu wasiwe na haraka kuhusu ratiba ya msiba wa mtoto PATI na atatoa ratiba nzima akifika Nairobi .Pumzika kwa amani mtoto Pati
6 Reactions
53 Replies
9K Views
Msanii nyota wa bongo fleva Vanessa Mdee wamewachana kituo Cha muziki Cha Muziki kwa kusema kimekuwa na upendeleo kwa muda mrefu kwa baadhi ya wasanii.Msanii Bilnass nae alimuunga mkono Vanessa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Mzee konkii jaman katoa nyimbo mpya inaitw dude
0 Reactions
16 Replies
3K Views
1.Huanza kujikita kwenye dini. 2.Kujiweka karibu na washikaji. 3.Kupunguza kujidai (kujiona) 4.Kuongea vizuri na watu 5.Kutumia usafiri wa kawaida 6.Kuimba kama anaanza muziki 7.Kuwaponda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MWILI ni kitu muhimu sana kinachotakiwa kuthaminiwa na kila binadamu. Huwezi kuwa mtu kamili kama huna mwili, hata vitabu vya dini vinatufundisha kwamba mwili ni hekalu la Roho Mtakatifu hivyo...
0 Reactions
36 Replies
28K Views
Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka...
0 Reactions
131 Replies
18K Views
Yupo wapi huyu mtu,alikuwaga ni repoter wa itv nina mda cjamsikia,mwenye kujua alipo atujuze. 24 Agosti 2017: Mkuu wa idara ya habari ITV Steven Chuwa (Kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
BAADA ya matatizo ya mapenzi, hatimaye msanii Wema Sepetu, ameweka wazi kuwa hataki tena kutembea na masharobaro kwani mapenzi yao yanakuwa hayana malengo zaidi ya kuchezeana. Akizungumza hivi...
0 Reactions
71 Replies
13K Views
Ila wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa...
3 Reactions
43 Replies
11K Views
Ni moja ya msanii mzuri wa hip hop bongo pia mziki wake unaheshimika lakini toka ameacha kuimba na kuingia kwenye siasa huyu kinachomfelisha ni kutokuwa na msimamo. Mara CHADEMA,ACT na sasa hivi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
jana nikiwa katika pitapita zangu maeneo ya afrikana mbezi beach nikakuta wema amesimamishwa na maofisa wa TRA na polisi wenye mitutu wakaikagua iyo gari na kisha wakaondoka nayo wakiwemo hao...
1 Reactions
50 Replies
13K Views
Kwa wapenzi wa mziki mzuri watakubaliana na mimi kwamba moja ya msanii aliyekuwa anatuburudisha vilivyo na kuyafanya masikio yetu yapate burudani ya kutosha ni huyu bwana mdogo, tulipokuwa...
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Wakuu heshima mbele, Ningependa kujua mishahara ya wafanyakazi wa Clouds Radio na Tv tafadhari, hususani watangazaji.
2 Reactions
80 Replies
22K Views
...Wanajamvi najiuliza hawa Wanasiasa kina Mama(Wabeijing) waliokuwepo Madarakani kama Mawaziri ktk Nusu ya kwanza ya Uongozi wa JK wamepotelea wapi sa hivi na wanajihusisha na nini la kumuondolea...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
ndani ya Akemi jijini Dar. Jana usiku mwigizaji na mwanamuziki Baby Madaha alizindua filamu yake mpya ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…