Eric Shigongo bado anaendeleza vita ya maneno. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eric Shigongo bado anaendeleza vita ya maneno.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KUN, Oct 10, 2012.

 1. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimesoma moja ya Column kwenye gazeti la Championi la leo yenye kichwa cha habari " Chamelleone atapeli tena Norway"
  Nimejiuliza maswali mengi lakini nimekosa majibu ya uhakika, binafsi me ni msomaji wa magazeti ya shigongo sana sana hili la Champion. Wiki kadhaa zilizopita hili gazeti lilitoa makala 5 mfululizo likimchafua huyu mwanamziki wa uganda Chamellione hasa kwa kile kinachosemekana kuwa ni tapeli na kwakuwa yeye hana gazeti hapa nchini hatukupata fursa ya kuona kile ambacho yeye angejibu hizo tuhuma zilizoibuliwa na shigongo, katika ule mfululizo wa kumwandika dotor chamellion kwenye hilo gazeti alijitokeza DJ mmoja akidai kuwa aliwahi kutapeliwa na huyo camellione miaka ya 2006, Sijui km habari hizo zilikuwa zikiandikwa kwenye magazeti mengine ya udaku ya shigongo maana mimi sio shabiki wa hayo magazeti mengine k.m Uwazi, ijumaa n.k

  kilichoandikwa kwenye gazeti la leo la championi kimeibuliwa kwenye ukurasa wa DR JOSE CHAMELLIONE wa FACEBOOK, ambapo alipost status yeye mwenyew akionesha kulalamikia baadhi ya mapromota wa muziki hasa akimlenga huyo wa Norway kuwa ameshindwa kufanikisha zoezi la viza ili yeye aweze kwenda nchini humo na kufanya shoo. hiyo status iliptata wachangiaji wengi, baadhi walimuunga mkono wengine hawakumuunga mkono na wengine hawakuonesha walikuwa upande upi!!!

  kwa sababu ya chuki Shigongo aliyonayo kwa DR, akaamua kuitengeneza kuwa habari kisha akacopy na kupaste baadhi ya comments za watu ambao hawakumuunga mkono DR kwenye gazeti lake, nahisi sababu ilikuwa ni kuendeleza vita yake ne Jose na kuiaminisha jamii kile ambacho aliibua kuwa ni cha kweli......

  Nina maswali mengi ya kumuuliza Shigongo ila ningependa nimuulize swali moja tu...Pengine DR. JOSE ni tapeli au siyo kwa sababu hajawahi kunitapeli, yeye shigongo anaamini kuwa yeye ni msafi? hajawahi kumdhulumu au kumtapeli mtu yeyote tangu ameanza biashara yake? Sigongo yeye anaamini mtu safi?


  tafadhali Shigongo nijibu swali langu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona Msukuma mshamba kama Shigongo. Pamoja na kuwa na hela nyingi hana exposure
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Eric shigongo kazoea kuwadhulumu wasanii wa bongo! chameleone ni mwanamuziki wa kimataifa baana.
   
 4. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Huyu mlokole muuza bia kule Dar Live! Naye amenitoka kama Kibonde!
   
 5. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nani huyo?


   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  aaaaah,mdau unanivunja mbavu kwa kicheko,,,,,,hivi mwaka huu hajagombea U-NEC????
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  eric huyo
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  kile kilabu chake siku hizi ni danguro.
  kaona makanisa siku hizi hayalipi kaamua kufungua danguro Mbagala.
  MLOKOLE HUYO
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wapo mdau
  -NGEREJA(NGELEJA)
  -MAIGE EZEKIEL
   
 10. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Mbona nasikiaga manyota ni Riz1 dizain km parternship flan hv!!!
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  naam mlokole wa kithuKUMA
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Kweli ni washamba sana, lakini Shigongo kawipita kidogo
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahaaaa,,,,sasa BUJI,shigongo ndo kipanga wa washamba wa KITHUkuma
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahaaaa,,,,sasa BUJI,shigongo ndo kipanga wa washamba wa KITHUkuma????
   
 15. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo dar live huyo msukuma kawekwa tu
  Mmiliki ni KAKA YAKE MWANA ASHA
   
 16. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jamaa mlokole kweli....!??,

   
 17. S

  SHERRIE Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shigongo kwa Chamelione ni kama mwanamke aliyepewa talaka.
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Shigongo ni kuku mdogo sana kwa dr.jose.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 19. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa huwa simweliwi kabisa ulokole+maudaku yake(ambayo mengi ni uongo mtupu) +hyo kilabu ya pombe... = (). Naungana na mtu mmoja aliesema ana pesa but ushamba haumtoki. Huo ulokole ni danganya toto.. Ptuuuuu

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 20. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  DR. JOSE:

  I HATE PROMOTAZ WHO BLAME ARTISTES FOR THEIR AMATEURISM!!

  THE NORWAY ONE IS ONE OF THEM HE GOES AHEAD ORGANISES A SHOW AND FAILS TO GET ME A VISA, what does he do?
  HE CALLS ME A THIEF UPON HIS OWN FAILURE.

  YOU CAN'T USE AMATEUR SKILLS PROFFESSIONALLY!
  Get a life!
   
Loading...