Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kila show ulaya america au kusini mwa jangwa la sahara, why huwatafutii show misri,algeria,morroco, irani, saudi arabia au hata omani?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Je, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke? HBC Kwanza Unit Kikosi cha Mizinga TMK Manzese Crew Solid ground Family Diplomats Nako2Nako...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba. Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba...
1 Reactions
138 Replies
31K Views
Msanii Diamond platnumz azua gumzo mtandaoni baada ya post maneno haya huko Twitter Je,nani mlengwa hapa?
1 Reactions
47 Replies
12K Views
Kuna nyumba ilikuwa sokoni inayofanana na ile Diamond amedai kuinunua South, zinafanana tu ama ni ile ile? Hilo ni swali ambalo hadi sasa wengi wamekuwa wakijiuliza, lakini sasa Bongo5 ina jibu la...
7 Reactions
61 Replies
18K Views
Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja...
1 Reactions
92 Replies
16K Views
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop " wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
"Bilnass hawezi kufanana na mimi, mara ya kwanza kusikia jina hilo nilijua ni mabasi mapya ya Mtwara. Hawezi kujiita staa wakati hata Kibaha hajulikani, yeye atulie tu kukiwa na 'birthday' za...
3 Reactions
14 Replies
44K Views
Nasikia kila siku wasanii wanapiga shoo ndio kipato wanachotegemea sana sasa nachojiuliza sijawahi kusikia kama hili jambo linaongelewa sana kuhusu wasanii wa bongo fleva kulipa kodi mana naona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kijana ameshaanza kukosa ubunifu nyimbo yake mpya ni sample ya beat ya bwana misosi mabinti wa kitanga
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Kuna kipindi Diamond aliwapa sana hamasa wasanii wenzake kujikita katika miradi ya biashara pale alipofanikiwa kupiga pesa ndefu alipopewa asilimia kadhaa ya biashara ya "diamond Karanga" yeye...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Alikiba ni msanii mkubwa sana ila sasa cha kushangaza nyimbo zake hazina lyrics kwenye platform kubwa kama app ya Musixmatch Mwana muziki yeyote duniani anayejielewa na kujua anafanya nini lazma...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Huyu dada nampenda sanaa ila historia yake siijui na kama anakashfa na scandel sijazisikia kwa wanaomjua vizuri hebu tupe habari zake ================ Taarifa zaidi na michango toka kwa...
5 Reactions
79 Replies
29K Views
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...ila kwa sasa ameanza kulewa sifa.. 1. Amekuwa mvutaji wa sigara sana 2. Mtumiaji wa pombe sana 3. Watu wake wa karibu wanasema ameanza kiburi...kazinguana...
8 Reactions
106 Replies
61K Views
Naamini mko piece,bien,wazima kabisa. Kwa walio wagonjwa poleni. Naomba tafadhalini sana kwa mwenya kuweza kunipatia namba ya simu ya mheshimiwa sana,mhenga Bibi Tabitha Siwale,nina shida nae. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Staa kutoka kiwanda cha Nollywood , Regina Daniels , Ameshangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha kuolewa na Mzee wa miaka 59 , huku yeye akiwa na miaka 18 tu ambayo alitimiza Mwaka jana october...
6 Reactions
107 Replies
18K Views
Hizi timu zitakuwa Kali Sana. Ni pale Harmonize atakapoamua kuitupa WCB na kuamua kujitegemea kimuziki, itakuwa patashika nguo kuchanika ukisingatia kuwa wore ni wakali wa Bongofleva na Mara...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Sitaki kuamini hii Ndo Mara ya kwanza young Dee anaingia USA, maana sio kwa kutupostia mpaka VISA , kweli ushamba mzigo , Sasa sijui Na huko kaenda kufanya show Au ndo baecation. Siku hizi naona...
12 Reactions
90 Replies
16K Views
Mm siyo shabiki wa huyu jamaa lakini mwenye hii ngoma salute sana kaua vibaya sana, huchoki kusikiliza. Akiendelea kutoa ngoma kama hii mfulululizo atakamata sana soko la mziki hapa bongo. Salute...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Steve Nyerere ameomba watu wasiwe na haraka kuhusu ratiba ya msiba wa mtoto PATI na atatoa ratiba nzima akifika Nairobi .Pumzika kwa amani mtoto Pati
6 Reactions
53 Replies
9K Views
Back
Top Bottom